Najuta kuzaliwa Tanzania

Kwa hali ya kweli Tz ilivyo wala sikupingi... Nakuonea wivu ila me sijutii kuzaliwa Bongo maana sio mipango yangu... Mungu atanitengenezea njia maana yeye anajua sababu.
 
Mbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...
 
Ko hizo picha za google nfo umeamua uziattach hapa au sio au ww ndo iyo miti kwny izo picha,nenda soba bagamoyo utakua fresh
 
Mbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...
Si ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskini
 
Si ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskini
Unachosema upo sahihi majimbo mengi huko yametofautiana sana uchumi hasa kwa watu weusi...
 
na picha zako za kudanload!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona na wewe unaponda wakati huko USA ndio ulikopatia Elimu kama huku ni bora si ungeendelea kubaki huko Ifakara...
Understanding ya wengi ni shida , rudia kisoma utafute theme of the post ,elimu sikuanza kule ,nliianza papa hapa ,mpaka sekondari ,Ila that's beside the point ,elewa theme of the post itself
 
Lete picha ukiwa na boss ya Qatar.
 
Si ndio hapo mkuu huyu jamaa shida anaishi zile state za Black America that too much violence na umaskini kama minesota,Georgia na state zingine za kimaskini
Hakuna state yyte kule ambayo blacks ni majority ,labda California nlipokuwa na hapo latina community ndo wengi ,all other states ni white majority , na uwache kudanganya watu ,Georgia is one of the fastest growing states marekani
 
Somehow uko na point ila ilikuwa lazima Uniite mjinga? How and why
 
Kila mtu na views zake. ..

Siwezi mkatalia mtu anayeishi ndenga na maji huko vijijini akiniambia maisha ya Dar ni mazuri na bora kuliko kijijini kwao na wala siwezi kumshauri asije Dar.

Kwakuwa wewe upo Dar huna mishe, unashinda njaa, una daiwa kodi, umeme na bills nyingine ,vyakula vya kununua etc.

Nitamsahuri aje Dar kwasababu walau kuna miundombinu, huduma muhimu za kijamii kiasi, na mzunguko wa mkubwa wa pesa kulinganisha na kijijini kwao... lakini changamoto zakuishi Dar ni lazima akubali kukabiliana nazo ..mana tayari kashabafilisha mazingiria.

Unasema Tanzania is the best kwasababu changamoto zake umeshazizoea na upo lwenye comfort zone,
Ni ngumu sana kubadili mindset yako kupambana na mazingira ,au changamoto mpya ambazo akili yako haijazizoea!

Hata nikiku orodbeshea matatizo ambayo watu wa nchi nyingine wanayaona ni makubwa kuishi hapa Tz ,wewe utayachukulia simple tu.
 
From the psychology point of view ...

Inaonesha wewe ulitamani sana uishi USA lakini ,kuna mambo yalikufanya ushindwe labda vitu kama visa ku expire, au

kushindwa kujipanga mapema ni namna gani ungefanya ili uweze kunaki huko mida wako wa masomo utakapo kamilika ..

Us kuna state 50+ , sasa unapozungumzia highest cost of living na kutaja state 3 tu kati ya hizo 50+ ndio nini..??

Zipo state nyingi amabzo ni affordable kuishi.. hata utaraibu wa tax unatofautiana kwa baadhi ya states

maisha hayaitaji ulelemama popote pale utakapoishi iwe kijijini iwe mjini ni lazima upambane. Hata huko kijijini kwenu kwenye ardi ya bure .. mashamba haya jilimi yenyewe.
 
Asa si Bora huyo nurse Ana gari, huku tz majobless wako kwa ndugu hawana job, kwahiyo ulidhani kila aliyesoma us atakuwa Ana kazi, eti wholy educated. Kwahiyo akili yako inakutuma kwamba kwa sababu Ni first world country ndo kunakuwa na 0 unemployment. Ulitaka rent iwe laki moja ili nchi iitwe first world au. Labda kapenda kuishi kwenye trolleys. Tena huyo mwenye trolley anaishi maisha mazuri kuliko mtz alopanga kwenye nyumba huku
 
Sawa chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…