Najuta kwanini niliuza gari yangu

Najuta kwanini niliuza gari yangu

Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana.

Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X ,,Aliku nayo rafiki angu,, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST alafu yeye MARK X, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X

Kilicho tokea nikafanikisaha kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo
Mpaka sasa sijafanikiwa kununua iyo MARK X niliyo itamani na sijui nitainunua lini,, pesa yenyewe naona giza, Kwani nimeitafuna

Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapo jiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayo kuja imejaa


Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua pikipiki upunguze machungu na kama huwezi nakushauri nunua baiskeli aina ya swala
 
Dah nazidi kutishika...mimi nina escudo old model imenisaidia kwenye ujenz wangu..sasa nimemaliza..nataka kuvuta subaru forester 2004/5 hv...sasa sijui ninunue au niipeleke tu kwa mchina hii escudo
 
Ni mwaka 2021, je, mleta uzi vipi ulifanikiwa.....?!
 
Nilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana.

Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X, Alikuwanayo rafiki angu, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST halafu yeye MARK X, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X

Kilichotokea nikafanikisawa kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo. Mpaka sasa sijafanikiwa kununua hiyo MARK X niliyoitamani na sijui nitainunua lini, pesa yenyewe naona giza kwani nimeitafuna.

Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapojiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayokuja imejaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mark x ni bora kuliko ist? Wewe lazima msukuma
 
Back
Top Bottom