Najuta kwanini niliuza gari yangu

Nunua pikipiki upunguze machungu na kama huwezi nakushauri nunua baiskeli aina ya swala
 
Dah nazidi kutishika...mimi nina escudo old model imenisaidia kwenye ujenz wangu..sasa nimemaliza..nataka kuvuta subaru forester 2004/5 hv...sasa sijui ninunue au niipeleke tu kwa mchina hii escudo
 
Ni mwaka 2021, je, mleta uzi vipi ulifanikiwa.....?!
 
Kwa hiyo mark x ni bora kuliko ist? Wewe lazima msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…