Najuta kwanini sikumuambia walau NAKUPENDA

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Niliamini huyu ndio wife material wangu bana

Basi yule mtoto akanionesha ishara zote za kunihitaji si nikajifanya nice guy eti sitaki nimuumize mtoto wa watu nimuache tu aende zake[emoji24][emoji24]

bora hata ningemuambia walau NAKUPENDA huenda angenifikiria huko alipo hivi sasa

Nakumbuka siku ya mwisho alikuja kuniaga, aliniambia "nimekuja kukuaga, naondoka Mungu akipenda" dah!!
Eti nikamjibu "nakutakia kila la kheri"

Tazama huyu ambae niliesema wa kulia maisha kapindua meza tena kibabe tu[emoji24][emoji24]
Hii hainijani pain saana na nimeshakubali matokeo
(Siku moja tu ilitosha kunifanya niwe mwenye maumivu na siku hiyohiyo nilikubali matokeo)
fresh tu, ila kinachonipain kumu ignore yule mtoto wa watu ambae kwasasa nahisi kumuhitaji kwelikweli
Coz now I want to go where I feel loved
Ikumbukwe sikumuignore kwakuwa sikumuelewa ila sikutak kucheza na feelings za mtoto wa watu
na madrama siyawezagi
Je huko alipo anaweza ku think about me tena?

Dah! Kumfuata mim nikiwa ndio muhitaji pia haitokuwa changamoto? hivi hato take tena advantage ya mimi kuwa muhitaji kwake?

Aaaaaaah!

Njia panda............
 
Nice guy safi 👏 👏
 
Hivi kwanini mademu wote walionikataa kwa dharau baadhi yao hadi leo hawajaolewa na walioolewa karibia wote wameachana na watu wao? Hii iko vipi kiroho? Naogopa hata kuenda PM kwa wanawake wa JF ili wasije wakanikataa yakawakuta.
 
🤣🤣 Dah una story kama yangu mkuu, ingawa nimesha move on.

Kuna Chuma kimoja kilikuwa kinanikubali sana, nikiwa karibu nae namuona anavyo enjoy kutoka ndani yani, tena bila kujali hadhi yangu ya chini na yeye matawi.
Mixer support kibao kwangu na nini, lakini mimi ndicho kigezo nilichotumia kutokumaliza kazi, nikajipa moyo nijitafute kwanza angalau nipande level.

Sasa kwenye kuminya nyanya mara nakutana na biringanya kapuku mwenzangu, matukio kama kawa...ase! Nilimkumbuka sana yule manzi, bora yeye pamoja na level zake ila alikuwa anaelewa sana mambo yangu. Mungu ambariki huko alipo.

Mwisho nimeamua kukubali yaishe na kwamba nmeshajichanganya, basi simuwazi tena, na maisha yanasonga maana nili stuck kabisa narudishaje majeshi, wakati yeye namuona hana tena ile touch na mimi.
 
[emoji1787][emoji1787] Dah una story kama yangu mkuu, ingawa nimesha move on.

Kuna Chuma kimoja kilikuwa kinanikubali sana, nikiwa karibu nae namuona anavyo enjoy kutoka ndani yani, tena bila kujali hadhi yangu ya chini na yeye matawi.
Mixer support kibao kwangu na nini, lakini mimi ndicho kigezo nilichotumia kutokumaliza kazi, nikajipa moyo nijitafute kwanza angalau nipande level.

Sasa kwenye kuminya nyanya mara nakutana na biringanya kapuku mwenzangu, matukio kama kawa...ase! Nilimkumbuka sana yule manzi, bora yeye pamoja na level zake ila alikuwa anaelewa sana mambo yangu. Mungu ambariki huko alipo.

Mwisho nimeamua kukubali yaishe na kwamba nmeshajichanganya, basi simuwazi tena, na maisha yanasonga maana nili stuck kabisa narudishaje majeshi, wakati yeye namuona hana tena ile touch na mimi.
Dah!

Sio poa Mkuu
 
Huwa sina sifa ya kubembeleza
Anhaaa kumbe sasa kwa njia hiyoo utapoteza wengiii mkuu maana wana tabia ya kutaka kuonekana sio raisi kuwapata
Anyway, hata mm pia siwezi kubembeleza mtu
 
🤣🤣 Dah una story kama yangu mkuu, ingawa nimesha move on.

Kuna Chuma kimoja kilikuwa kinanikubali sana, nikiwa karibu nae namuona anavyo enjoy kutoka ndani yani, tena bila kujali hadhi yangu ya chini na yeye matawi.
Mixer support kibao kwangu na nini, lakini mimi ndicho kigezo nilichotumia kutokumaliza kazi, nikajipa moyo nijitafute kwanza angalau nipande level.

Sasa kwenye kuminya nyanya mara nakutana na biringanya kapuku mwenzangu, matukio kama kawa...ase! Nilimkumbuka sana yule manzi, bora yeye pamoja na level zake ila alikuwa anaelewa sana mambo yangu. Mungu ambariki huko alipo.

Mwisho nimeamua kukubali yaishe na kwamba nmeshajichanganya, basi simuwazi tena, na maisha yanasonga maana nili stuck kabisa narudishaje majeshi, wakati yeye namuona hana tena ile touch na mimi.
Utajua haujui 😂
 
Back
Top Bottom