Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Eiyer nafurah sana kuona na wewe unajandaa kumshauri huyu mwenzetu.Dah!Nimevutiwa na uungwana wa huyu jamaa.Aiseee,kazi ipo hapa lakini kwa kuanza hebu msikilize ount gfsonwin ili nami nijipange kukushauri!
Mungu aepushie mbali. Najaribu kupiga picha camera imegoma kabisa. Subiri wenye watoto wa nje wanaweza kuwa washauri wazuri. Maana kuijua ngoma mpaka uingie ucheze. Pole sana.
'Mtoto wa nje' ndo kitu gani? I hate this neno,kwangu mtoto ni mtoto na ninao kibao na nawapenda wanangu wote na kuwatunza.
Mtoa mada sikiliza bana,huyo mkeo asikutishe na wala huna sababu y a kuogopa kihivyo. Ulichokifanya ni jambo la kawaida sana na asilimia kubwa ya wanaume tumepitia huko.La kufanya:
A) Face the girls parents. Mchukue nduguyo unayemwamini mwende kwa wazazi wake, weza kwenda na baba,mama,kaka,mjomba does'nt matter,nyie nendeni,mtalipishwa faini itakuwa imetoka hiyo.
B) Tafuta ndugu upande wa mke ambaye mkeo anamweshimu sana,mpasulie ukweli kuwa umezaa na huyo mdada,mwombe akuite wewe na mkeo na kwenye kikao yeye ndo atamke yeye na sio wewe kisha mama watoto akikuhoji jibu 'ndiyo' halafu usiongee sana,be cool,akipandisha just stay quite ila akijitia kurusha ngumi mtandike maana si ruksa akunyanyulie mkono hata kama una kosa.
Katika hili aki pack na kuondoka kamwe usimfuate,its up to her kuamua kurudi au kuacha,nakuhakikishia atarudi,hujaua mtu aslan.
Always remember waume wa kwelituko wachache sana hapa mjini na hakuna mwanamme anaachwa siku hizi.
Najua it sounds arrogant ila ukweli i am advising by drawing on my deep experience ya ku deal na mama zetu hawa.

Mkuu Bishanga unatisha kama Drogba.Ngoja watetea usawa wa kina mama watie mguu ndani ya uzi huu watakushukia kama mwewe anavyowashukia vifaranga wa kuku.
Michango yenu imenifanya niwajue wanaume wa "mfumo dume" na wanaume caring. Lol
You put it as i put!
Cha kuongezea ni kwamba jamaa asitegemee mkewe atamlegezea..yaan akaze tu!!
Upendo na heshima ipi unaongelea hapa? Mtoa mada kakiri ameshaharibu ,hapa tuko kwenye damage limitation exercise.Ivi zana hizi bado **** mwanamke anaweza vumilia upuuzi huu???
Walah kweli tumetofautiana!!!
ebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya huyo mama alafu ufanyiwe ivyo kama unavyoshauri.
mwanaume wa ukweli si kuwa arrogant but huonyesha upendo na heshima kwa mke na familia.
Dawa yao hawa ni hiyo tu,hata ukiharibu mtoto wa kiume gangamara,hawana pakwenda hawa,kwanza waoaji wako wapi in the first place,halafu watoto amwachie nani?