Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 4,998
Its so touching mkuu, ulivyoitoa hata me naweza kufeel ni kwa kiasi gani unasumbuka. Nadhani ingekuwa vizuri utafute namna ya kumweleza mkeo wa ndoa hata kama utatumia muda mrefu SANA kufikisha ujumbe. Akikuelewa basi mshukuru Mungu na baada ya hapo nenda kule kijijini ucheki namna ya kuwaingia wakwe wako wa kufikia. But ni ngumu sana mkuu kulimaliza hilo, nionavyo mie, ukweli utakuweka huru, na ukificha maradhi, kifo kitakuumbua. Kumbuka, maisha ya toba yatakufanya uwe huru na ile kama ni damu yako usiiache! Truth will set you free!!!!!