Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Hakuna mwanaume ambaye anaweza samehe unapomlia mkewe lazima anakutafuta underground siku akikutia mikononi ndo utajua mke wa mtu ni sumu kivip
 
Kwa kifupi ni kwamba hiyo Ndoa ulishaiharibu hata kabla huyo Mke hajafukuzwa. Ulipaswa kuanza kujuta tangu siku ulipoamua kuzisikiliza tamaa za kumfakamia Mke wa mtu.
Mimi sina cha kukushauri kwa kweli.
 
Huyu hajaitendea haki brotherhood yetu mpaka sasa. Yani ana ushahidi wote bado hujaomba maji au kuwa missing mpaka dakika hii? Hebu tupe namba yake tumpe ushauri wa kumaliza hii changamoto.
 
Ninachojua mm ni kwamba ndoa yako pia itavurugika kwa namna hiyohiyo.
 
Itoshe kusema “WEWE NI MPBAVU” Hata ukimuona jamaa akasema amekusamehe, mwenye mamlaka ya kulaani au kubariki ni Mungu, huyo ndio mtakae malizana nae.
 
Si ndio hapo mkuu. Kwahio alitaka warndelee kushea na mwanetu hataki kula peke yake
 
Unamkaanga
 
Huu ni mfano hai kwa vijana kua:-
1.Hutakiwi uoe mwanake asiye bikira
2. kama sio bikira hakikisha unaijua past yake kama unavoijua yako
3.Kama namba 2 haiwezekani ,USIOE,Fanya namba moja
 
Mkuu si ungeshangilia sasa umeachiwa kitu ujinafasi unavyotaka mbona unaanza kuhaha tena?
 
Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Wanaume wote ukiacha na mtoa maada, hatuli wake za watu 😃
 
We jamaa iyo dhambi itakutafuna sana umefanya dhambi kubwa sana kuua ndoa ya mtu kila la kheri
 
Sijui kwanini watu wanapenda sana kuomba omba msamaha, au kusamehewa, inakuaje mtu anashindwa kubeba matokeo ya matendo na maamuzi yake?
 
Sasa unamwambia aende kwa familia yake , sijui aende kwa watu , huko ni kutangaza kuwa kaembea na mke wa mtu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…