UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Hakuna mwanaume ambaye anaweza samehe unapomlia mkewe lazima anakutafuta underground siku akikutia mikononi ndo utajua mke wa mtu ni sumu kivip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi ni kwamba hiyo Ndoa ulishaiharibu hata kabla huyo Mke hajafukuzwa. Ulipaswa kuanza kujuta tangu siku ulipoamua kuzisikiliza tamaa za kumfakamia Mke wa mtu.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu
Huyu hajaitendea haki brotherhood yetu mpaka sasa. Yani ana ushahidi wote bado hujaomba maji au kuwa missing mpaka dakika hii? Hebu tupe namba yake tumpe ushauri wa kumaliza hii changamoto.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Ninachojua mm ni kwamba ndoa yako pia itavurugika kwa namna hiyohiyo.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.

Itoshe kusema “WEWE NI MPBAVU” Hata ukimuona jamaa akasema amekusamehe, mwenye mamlaka ya kulaani au kubariki ni Mungu, huyo ndio mtakae malizana nae.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Si ndio hapo mkuu. Kwahio alitaka warndelee kushea na mwanetu hataki kula peke yakeUnashangaza,
Sasa si ulikuwa unamla mke wa Mtu kwa zaidi ya miaka mitatu ukijua ni Mke wa jamaa....Leo Jamaa amekuachia unaanza kuhaha...
Vipi tena Sheikh? Kachukue Mzigo wako...mwache jamaa atafute amani ya moyo wake kwingine.....au unataka akuoe wewe.
Ila jamaa amefanya uamuzi mzuri wa kiume.
UnamkaangaAcha ufala wewe unajutia nini bwana. Kuwa mwanaume kamili hapo hamna vha kujjtia. Wanawake ni wetu sote ulichofanya ni kitu normal kabisa ata mke wake nae anapenda kutaste mambo tofauti.
Kwanza huyo mume wake bwege tuu. Dunia ya sada hakuna mwanamke au mwanaume wako peke yako. Thats the harsh reality. Mzeya wee endelea na maisha na wala usiombe msamahaa
Huu ni mfano hai kwa vijana kua:-Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Wanaume wote ukiacha na mtoa maada, hatuli wake za watu 😃Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Hongereni sanaWanaume wote ukiacha na mtoa maada, hatuli wake za watu 😃
Solution ni kumuoa huyo msaliti mwenzio, mamb yake yakiwa magumu huko atakuja kukuharibia na kwako.
Ukiona kimya jua huko kwake mambo yako mswano, achana nae.
Sasa unamwambia aende kwa familia yake , sijui aende kwa watu , huko ni kutangaza kuwa kaembea na mke wa mtu fulaniHili jambo limenigusa na nimekuombea ushauri kwa watu naowaamini mkuu. Uahauri ulionishawishibnikuletew hapa ni huu;
Kuelewa kuwa ni vigumu sana kupata maneno sahihi ya kuomba msamaha katika hali hii, lakini nitajaribu kukupa baadhi ya mawazo ambayo unaweza kuzingatia:
Maneno ya msingi ambayo unaweza kutumia:
* Utambue kosa lako: "Najua nimefanya makosa makubwa sana kwa kuingilia ndoa yako. Nilipaswa kujua mipaka na kuheshimu uamuzi wako wa kuoa."
* Onyesha majuto ya dhati: "Ninajuta sana kwa maumivu yote niliyokusababishia wewe na mke wako. Nilipaswa kufikiria matokeo ya matendo yangu kabla ya kufanya chochote."
* Omba msamaha kwa dhati: "Naomba unisamehe kwa moyo wangu wote. Najua kuwa maneno yangu hayatoshi kufuta maumivu yote niliyokusababishia, lakini natumai siku moja utaweza kusamehe."
* Acha wazi kuwa umebadilika: "Tangu wakati huo, nimekuwa nikifanya kazi kubwa ya kujibadilisha na kujifunza kutoka makosa yangu. Nataka uweze kujua kuwa sitawahi kurudia kitendo kama hicho."
Maneno ya ziada ambayo unaweza kuongeza kulingana na hali yako:
* Shukuru kwa nafasi ya kuongea: "Nashukuru kwa kunipa nafasi ya kuzungumza na wewe leo. Ni muhimu sana kwangu uelewe ni kiasi gani ninavyotubu."
* Tumia maneno ya faraja: "Najua ni vigumu sana kwako kusahau yaliyopita, lakini natumai siku moja utaweza kupata amani ya moyoni."
* Omba msamaha kwa familia yake: "Pia, naomba unisamehe kwa maumivu yote niliyosababishia familia yako."
Vidokezo vya ziada:
* Uwe wa dhati: Usitumie maneno ya kulazimisha. Ongea kutoka moyoni.
* Usimlalie lawama mke wake: Zingatia kueleza majuto yako na kuomba msamaha kwake.
* Usijaribu kujitetea: Kubali kosa lako na uonyeshe kuwa umeelewa ukubwa wake.
* Usiwe na matarajio makubwa: Kumbuka kuwa ni vigumu sana kusahau maumivu ya aina hii.
Mfano wa ujumbe:
"Habari yako [Jina la mume wa aliyekuwa mpenzi wako]. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya yale yote niliyokufanyia na nilihitaji sana kukueleza jinsi ninavyojuta. Najua hakuna kitu kitakachoweza kurekebisha yaliyopita, lakini nataka ujue kuwa ninajuta sana kwa maumivu yote niliyokusababishia. Naomba unisamehe."
Kumbuka: Ni muhimu sana kuwa tayari kukubali matokeo yoyote ya mazungumzo haya. Mume wa aliyekuwa mpenzi wako anaweza kukusamehe, au asiweze. Jambo muhimu ni kwamba umeonyesha majuto ya dhati na umejitahidi kuomba msamaha.
Tahadhari: Ni muhimu kutambua kuwa kuomba msamaha sio dhamana ya msamaha. Kila mtu ana njia yake ya kushughulikia maumivu na inaweza kuchukua muda mrefu sana kupona.
Ushauri: Ikiwa unahisi unahitaji msaada zaidi katika kushughulikia hali hii, unaweza kuzungumza na mshauri wa kisaikolojia.
HaijaishaHii kesi imeishaje boss?
Umeamua Nini mkuu sasa?Haijaisha