Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Hata mimi mkuu. Tena mimi simjui mke mwingine zaidi ya mke wangu.
 
Mchuma janga hula na wa kwao.

Ova
 
Kitendo mwana,majuto ni mjukuu
 
Kwanza kabisa, ni jambo zuri kwamba unajuta na unataka kuomba msamaha. Hii ni hatua muhimu kuelekea uwajibikaji na kurekebisha makosa.

Hapa najua utasemwa kwa kila namna ya ubaya na utapewa kila aina ya hukumu na watu ambao hata sasa bado Hawakomi kutafuta wake za watu kwa visingizio kede kede hawajuu nini kitawapata kama zawadi ya uharibifu waufanyao.

Kiuhalisia hilo jambo ni zito na kweli limeharibu hatima ya ndoa ya watu waliokuwa wanapendana.

Na pia kwa kuandika kwako hili hapa kuna namna najua umejiona kama umetua mzigo mkubwa sana.

Hata hivyo, ni muhimu pia kufahamu kwamba hali hii ni nyeti sana, na unapaswa kuchukua tahadhari kubwa unaposhughulikia.

👉🏾 Naomba kama hutojali zingatia haya hapa chini yanaweza kuwa msaada kwako.

1. Jitathmini Kabla ya Kuchukua Hatua.

Jitafakari kwa kina kuhusu sababu za kutaka kuomba msamaha.

Je, ni kwa ajili ya kuondoa mzigo wa dhamira yako, au ni kwa kweli unataka kurekebisha madhara uliyosababisha?

Kuwa tayari kukubali kwamba hata baada ya kuomba msamaha, huenda asikukubalie au hali ibaki kuwa ngumu.

2. Tafuta Njia ya Maelewano.

Ikiwa kuna mtu wa kati anayemjua vizuri, kama rafiki au mtu wa familia anayeaminika, unaweza kumtumia kama kiunganishi.

Waombe msaada kufikisha ujumbe wako wa msamaha kwa njia ya heshima na utulivu.

Kumbuka kutohusisha watu wengi ili kuepuka kuongeza mgogoro au fedheha.

3. Andika Barua ya Msamaha. (Barua inanguvu zaidi kuliko text za kawaida hii inaonesha msisitizo ulionao juu ya kutafuta suluu)

Ikiwa unaona ni vigumu kuzungumza naye moja kwa moja, unaweza kuandika barua ya msamaha.

Eleza wazi majuto yako, chukua uwajibikaji wa kile kilichotokea, na ueleze unavyoomba radhi.

Hakikisha barua hiyo ni ya heshima na haina maneno ya kujitetea au kumlaumu.

Tuma barua hiyo kupitia mtu wa kati au kwa njia salama, ikiwa una uhakika haitazua matatizo zaidi.

4. Usilazimishe Kukutana Uso kwa Uso (Mkuu hii ni hatari sana Mke anauma sana fikiri tu haya ya ngekukuta wewe na mke. Ukiforce face to face utaambulia kumwagiwa tindikali)

Kutokana na hali ilivyo, kukutana uso kwa uso kunaweza kusababisha hisia kali au hata vurugu.

Ikiwezekana, epuka hatua hii isipokuwa ikiwa wote wawili mko tayari kwa mazungumzo ya amani.


5. Weka Mipaka Baada ya Msamaha


Ikiwa utafanikiwa kuomba msamaha, hakikisha unaheshimu mipaka ya mtu huyo na kuepuka hali yoyote inayoweza kuzua mawasiliano yasiyohitajika tena.


Jitahidi sana Mkuu kujifunza kutokana na hali hii na kuepuka makosa kama haya katika maisha yako ya baadaye.


6. Tafuta Msaada wa Kiroho au Kijamii. (Hili ni pendekezo kuu zaidi haswa ukizingatia upande wa Kiroho humu ndani watu wameeleza sana madhara ya soul ties kama hutojali tafuta na ujifunze)

Ikiwa unahisi mzigo wa kisaikolojia kutokana na tukio hili, unaweza kutafuta msaada wa mshauri, kiongozi wa kiroho, au mtu mwingine mwenye hekima ambaye anaweza kukusaidia kushughulikia hisia zako na kupata mwongozo wa maadili.

Mwisho kabisa Mkuu nakuomba uzangitie haya.

Msamaha wako unaweza kuwa na maana kwa mtu huyo au isiwe, lakini kilicho muhimu ni kwamba unafanya jitihada za dhati kuomba radhi.

Pia, usisahau kujifunza kutokana na makosa haya ili kuyakabili maisha yako kwa maadili na uwajibikaji zaidi.
 
Huyo kuna siku atakuzukia tu na kichupa cha mafuta muyamalize kimila, shauri yako pisi zooote hizi ambazo zinaelee elea kwani utombe mke wa mtu, umeyataka , jiandae tu kuukalia.
 
Hilo ndo tatizo lakufanya zinaa,katika imani mbalimbali nadhani hata ya kipagani zinaa imezuiwa,,hakuna ushauri zaidi yakukwambia omba toba sana katika imani yako uenda mungu akakusamehe,,kumuowa mke ambaye ushamzini haiwezekani.
 
Dawa ya kuinusuru hii ndoa pale mwanzoni kabisa usingekubali kupita na mke wa mtu,lakini kwa hapa ilipofikia hakuna namna kubaliana na yote.
 
Ukienda kuomba msamahaa beba na Vaseline au Prachuti mkuu
 
Asante kwa ushauri mkuu.
 
Ukienda kuonana nae usisahau DIDDY OIL
 
Rudi kwa jamaa kuomba msamaha ukiwa katika nafasi ya mke (mwanamke) na siyo kiume,, naamini itakuwa ni rahisi sana jamaa kukusamehe 😎
 
Nenda azam tv ndio inayobamba nenda clouds kipindi leo tena tbc junguu kuu omba msamaha kwa huyo jamaa atakusamehe namjua sababu ni mchawi muwahi kabla hajakutoa ngiri maji!
 
Nenda azam tv ndio inayobamba nenda clouds kipindi leo tena tbc junguu kuu omba msamaha kwa huyo jamaa atakusamehe namjua sababu ni mchawi muwahi kabla hajakutoa ngiri maji!
Unamjua anaishi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…