Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

wakati unamlomba na kumshawishi si ulijua? Ulishawahi kuhisi maisha watakayoishi watoto wao baada ya wao kutengana? Hapo ulipokua kulikua na wanawake wangap mpaka ufuate mke wa mtu unayejua fika?

Kila siku tunasema humu mnaharibu maisha ya watoto wa watu mnaharibu familia hamsikii hiyo laana ya hao watoto wakitangatanga itakutafuna maisha yako yote
Wote wana makosa. Aliyeharibu maisha yake ni mwanamke, hakubakwa. Kwani angekaa angeuliwa? Tamaa zake tu.
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Kamkabidhi mkeo kwa jamaa ili naye ampige show miaka 3 na hapo atatoa msamaha
 
Mimi naweza kukushauri hivi..kama kweli unaumizwa kwa jamaa kuachana na mkewe,fanya kutafuta mawasiliano umpate jamaa Kisha mkae chini Muongee.Mwambie unajua nimeumizwa sana kwa kuachana kwenu,natamani sana kuona mnarudiana na mnalea watoto wenu na kama haitoshi niko tayari kukupa mke wangu Umgegede(Ila kama mkeo atakubali kugegedwa na jamaa).Jamaa akisikia hiyo fursa naamini atakunjua moyo atamrudia mkewe.
 
Nashauri mpelekee mkeo naye amgonge. Hapa utalimaliza na utaweka amani ya kudumu
 
Nenda kamuone ana kwa ana umombe radhi ukiwa umebeba kilainishi pamoja na mkuki au panga. Yeye ataamua cha kufanya
 
Umeona tulivyokuwa wanafiki. Mie ndio haya mambo ya ayonikera sometimes kuhusu sie wanaume.
Wee mke wa mtu akijilengesha mgegede bwana sii ndio anachokitaka na mnaenjoy wote.
Alafu ufala wa kumlawiti mwanaume mwenzio eti kisa mmeo kampa mbususu bila kubakwa ndio upuuzi katika upuizi wote duniani.

Anyways vipi mrembo. Sii tunakuta pale baadae nile tamuu ya mumeo😜
Kwa comment hii huna Muda machizi watapita nA Bk ya kuliumbiu ya Yanga.
 
Hivi mwanamme uliye oa unawezaje kwenda kulala na mke wa mtu ambaye unajua kabisa usiku kucha alilala na mume wake, mimi naona kinyaa? Mbona warembo wapo tele mtaani wanatafuta wanaume? AU ndio kujifanya unapenda kumbe unataka vya bure???

Kosa ulilofanya ni kubwa sana tumia muda wako kutubu na kumuomba Mungu aifanyie wepesi hiyo familia.
Swala la kuomba msamaha halina nafasi kwa sasa kwani utajihatarishia maisha yako
 
Mchuma majanga hula na wa kwao,
Badala ya kuiba, sasa ndio ule kwa uhuru
 
Kwa comment hii huna Muda machizi watapita nA Bk ya kuliumbiu ya Yanga.
Weee mwiko nyuma sio vitu vya kumaind bro 🤣🤣🤣🤣.
Sawa na mkeo kugegedwa na wanaume wengine sio kitu cha kumind kabisa. Ni mwanaume njinga tuu ana mind mke wake kugegedwa.

tena naweza muelewa mtu ambaye mkeo wake alikuwa bikra lakini eti una mind manamke ambaye umemkuta breki pumbuz. Be serious with ur life bro!
 
W

Watu mna vituko.
Hiyo inaitwa kama kasusa nipe mie🤣🤣🤣🤣
Vipi na wee nke ya mtu nijaribu bahati yangu😜
Kuna manamke mmoja aliwahi niambia "mzabzab maku haisuswi kamwwe" nilichukia ila baadae nilitulia nikasema huyu manamke ameongea ukweli mtupu.
 
Weee mwiko nyuma sio vitu vya kumaind bro 🤣🤣🤣🤣.
Sawa na mkeo kugegedwa na wanaume wengine sio kitu cha kumind kabisa. Ni mwanaume njinga tuu ana mind mke wake kugegedwa.

tena naweza muelewa mtu ambaye mkeo wake alikuwa bikra lakini eti una mind manamke ambaye umemkuta breki pumbuz. Be serious with ur life bro!
Ukijiona mkeo anagegedwa na wewe kiroho safi kabisa haumind jua na wewe ipo siku utatamani kugegendwa.
 
Ukijiona mkeo anagegedwa na wewe kiroho safi kabisa haumind jua na wewe ipo siku utatamani kugegendwa.
Its all about mentality y mtu. Kam wapo ambo hawamind mkeo kugegedwa na wanajenga fikra z kufirwa hilo siwezi bish maana sina ushahidi.

Najiongelea mie mwenyewe kuwa siwezi umiza kichwa na moyo wangu kwa mke ambaye nimemuoa breki pumbuz kugegedwa wakati mie mwenyewe nagegeda wake za watu.
Yaani nigegede wake wa wengine alafu wangu wasimgege. Uliona wapi hiyo wewe?

Ukila wake wa wenzio na wako watamla tuu so usilete hasira za kijinga mkeo akitombwer
 
Unashangaza,

Sasa si ulikuwa unamla mke wa Mtu kwa zaidi ya miaka mitatu ukijua ni Mke wa jamaa....Leo Jamaa amekuachia unaanza kuhaha...

Vipi tena Sheikh? Kachukue Mzigo wako...mwache jamaa atafute amani ya moyo wake kwingine.....au unataka akuoe wewe.

Ila jamaa amefanya uamuzi mzuri wa kiume.
Nakazia

Jamaa anakuwa kama wale ndege wanaokula papai likiwa kwenye mti,ukilitoa ukaliweka chini huwaoni tena
 
Its all about mentality y mtu. Kam wapo ambo hawamind mkeo kugegedwa na wanajenga fikra z kufirwa hilo siwezi bish maana sina ushahidi.

Najiongelea mie mwenyewe kuwa siwezi umiza kichwa na moyo wangu kwa mke ambaye nimemuoa breki pumbuz kugegedwa wakati mie mwenyewe nagegeda wake za watu.
Yaani nigegede wake wa wengine alafu wangu wasimgege. Uliona wapi hiyo wewe?

Ukila wake wa wenzio na wako watamla tuu so usilete hasira za kijinga mkeo akitombwer
Na mimi siongelei wale walio na Akili ya potelea mbali kwamba unajua ipo siku utafumaniwa na Mwanaume mwenzio atakuingilia nyuma mwiko mi nawazungumzia Wanaume wenye kujielewa wewe hujielewi kama mke wa mwenzio unaona hakuna tatizo kugonga hata mnduku wako hauna thamani.
 
Back
Top Bottom