Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Ndio umuoe sasa huyo childhood sweetheart wako mbwa wewe. Tena shukuru Mungu mpaka sasa hujachanwa marinda. Mshukuru sana huyo jamaa wala usimtafute kuna hasira huwa zinarudi akaamua kukula kavukavu. Mshahara wa dhambi ni mauti nenda katubu kanisani au msikitini huyo mwanamke kamuoe sasa ndio umle vizuri sweetheart wako maana nae katimuliwa ameona wewe ni nuksi hajakutafuta mpaka sasa ndio ujue anajutia ujinga wake kujifanya childhood sweetheart upulusi tu.
Hasira nyingi sana mzee [emoji23][emoji23] na wewe umeumizwa?
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Kuna ule msemo unasema malipo ni hapahapa duniani
pole sana
 
Hayo ni.maji yaliyomwagika , kitendo cha kwenda kuomba msamaha nikumuongezea maumivu mshikaji na kuzithibtsha kuw ni kweli for longer
 
The issue kwangu mie ni kwamba ushakula mke wa mtu, ameshaachika eti anajifanya anajutia mara anasema namba ya yule mwanamke hana. So angekuwa nayo inhekuwaje? He is not sorried for what he did kula tunakulaga lakini haya majanga ayakitokea unapaswa kuwajibika . Sasa anataka kuomba msamaha wa nini jamaa keshamuambia amuie yeye so its for him to decide sio kujifanya anajutia wakati anajua umalaya waliokuwa wqnaufanya. Take responsibility na ashukuru hajaliwa .
Alafu eti namba ya x wake hana!! Inafikirisha hii
 
Wale watu kwenye maandiko walimpelekea Yesu mwanamke mzinzi wakitaka Yesu awaunge mkono kumpiga mawe,

Lakini Cha ajabu hawakuja na mwanaume aliyelala naye [emoji3][emoji3]
Mwanaume mwenye si ndio huyu [emoji23][emoji23][emoji23] wamejilekebisha sasa, saaii wamemtanguliza
 
Ukiwa unacheat lazima ujiandae kisaikolojia kuwa hapa ikijulikana uwezekano wa kuachwa/kuuliwa ni asilimia 99. Wanawake wengi wanaocheat wameshajiandaa kwa hilo, ambae hajajiandaa ana matatizo ya akili.
Binafsi siwezi cheat kama bado namuhitaji sana huyo mtu niliye nae.
Wewe si ni single Mather njoo tuishi hapa
 
Wapo wanaobadilika lakini ni wachache. Na hii story inaweza isimbadilishe mtu yoyote...na kuna mtu humu aliyecomment baadae anaenda kumla mke wa mtu

Unasikitisha, ila ndo ukweli
 
Ila wanaume bwana!! Si huwa mnapigia chapuo kuchepuka eeh!! Haya sasa mbona leo mnamgeuka mwenzenu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom