Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Nakusubiri na mimi unipelekee motoo naona unapelekea moto hadi watu wanasahau kufuta msg yaan wanataman kika wakati waone hata maandishi yako basi utakuwa ukk vzr hadi nimekutamani na mm. Sitaki mtu aguse comment yangu
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Umezinguwa mzee...kwenda kumuomba msamaha haitakuwa na maana yoyte Ile....ungelijua Hilo usingetembea na mke wake brooo itarudi kwko hiyo siku Moja,Haina maana kwenda kumuomba msamaha we acha tu
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Acha kulalamika mwamba kakuachia umuoe maana kaona mnaiba iba sasa ndo muda wenu wa kufaidi mapenzi kwa raha zenu.
Wanawake huwa hawajifunzi, mwanaume atakupenda ukiwa kwenye ndoa yako ukiachika hata yeye hakutaki tena.
 
Huyu msenge umesoma vizuri alichokiandika au umekurupuka kumwaga comment kabla ya kusoma? Watu km hawa ndio wananifanyaga niwe natukana JF eti anakwambia namba ya huyo Mwanamke hana hivi huyu kiasi yaan kiazi anatuonaje sisi?
 
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi.kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart,so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa.kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu,nikamshawishi baadae tukaanza kucheat,kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu.akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu ,hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu.jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe.sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa,but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Trust is like a glass.. Once broken...! Na vilevile maji yakishamwagika hayazoleki
 
Ndio umuoe sasa huyo childhood sweetheart wako mbwa wewe. Tena shukuru Mungu mpaka sasa hujachanwa marinda. Mshukuru sana huyo jamaa wala usimtafute kuna hasira huwa zinarudi akaamua kukula kavukavu. Mshahara wa dhambi ni mauti nenda katubu kanisani au msikitini huyo mwanamke kamuoe sasa ndio umle vizuri sweetheart wako maana nae katimuliwa ameona wewe ni nuksi hajakutafuta mpaka sasa ndio ujue anajutia ujinga wake kujifanya childhood sweetheart upulusi tu.
 
Navyojua Mario/Washinda vijiweni ndiyo wanapenda sana kuchukua wake za watu na kuwapakia Mikongo ili wawe wanahudumiwa ila kwa Mwanamme ambaye anajielewa hawezi kuchukua mke wa mtu unless demu/mwanamke adanganye kwamba hajaolewa.

Kwakuwa ulikuwa unajua kwamba huyo ni mke wa mtu basi kumsaidia inaboidi umuoe tu huyu msaliti mwenzako.
 
Ningekuwa huyo mme, Ninge hakikisha naku P Didy vibaya mno kisha ndio nikuache uende.

Wese linge kuhusu. Yani uje uharibu familia yangu halafu ya kwako iendelee.

Ningevuruga kila kitu.
 
Back
Top Bottom