kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wewe fuata nilivyokushauri wataka kumjua anakoishi huyo mkewe ulikuwa una mchukulia wapi?Unamjua anaishi wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe fuata nilivyokushauri wataka kumjua anakoishi huyo mkewe ulikuwa una mchukulia wapi?Unamjua anaishi wapi?
Vizuri sanaHata mimi mkuu. Tena mimi simjui mke mwingine zaidi ya mke wangu.
Andaa tiGo hiyo, muda wowote unapasuliwa yai.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Hii nayo safi kabisaKumuua unakuwa umemfaidisha, anatakiwa kutiwa kilema cha maisha kata miguu abaki kiwete
Pole sana, kila wakati nashauri tusitembee na wake za watu hamsikii.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Sawa sawa mkuu.shukrani kwa huu muongozoHili jambo limenigusa na nimekuombea ushauri kwa watu naowaamini mkuu. Uahauri ulionishawishibnikuletew hapa ni huu;
Kuelewa kuwa ni vigumu sana kupata maneno sahihi ya kuomba msamaha katika hali hii, lakini nitajaribu kukupa baadhi ya mawazo ambayo unaweza kuzingatia:
Maneno ya msingi ambayo unaweza kutumia:
* Utambue kosa lako: "Najua nimefanya makosa makubwa sana kwa kuingilia ndoa yako. Nilipaswa kujua mipaka na kuheshimu uamuzi wako wa kuoa."
* Onyesha majuto ya dhati: "Ninajuta sana kwa maumivu yote niliyokusababishia wewe na mke wako. Nilipaswa kufikiria matokeo ya matendo yangu kabla ya kufanya chochote."
* Omba msamaha kwa dhati: "Naomba unisamehe kwa moyo wangu wote. Najua kuwa maneno yangu hayatoshi kufuta maumivu yote niliyokusababishia, lakini natumai siku moja utaweza kusamehe."
* Acha wazi kuwa umebadilika: "Tangu wakati huo, nimekuwa nikifanya kazi kubwa ya kujibadilisha na kujifunza kutoka makosa yangu. Nataka uweze kujua kuwa sitawahi kurudia kitendo kama hicho."
Maneno ya ziada ambayo unaweza kuongeza kulingana na hali yako:
* Shukuru kwa nafasi ya kuongea: "Nashukuru kwa kunipa nafasi ya kuzungumza na wewe leo. Ni muhimu sana kwangu uelewe ni kiasi gani ninavyotubu."
* Tumia maneno ya faraja: "Najua ni vigumu sana kwako kusahau yaliyopita, lakini natumai siku moja utaweza kupata amani ya moyoni."
* Omba msamaha kwa familia yake: "Pia, naomba unisamehe kwa maumivu yote niliyosababishia familia yako."
Vidokezo vya ziada:
* Uwe wa dhati: Usitumie maneno ya kulazimisha. Ongea kutoka moyoni.
* Usimlalie lawama mke wake: Zingatia kueleza majuto yako na kuomba msamaha kwake.
* Usijaribu kujitetea: Kubali kosa lako na uonyeshe kuwa umeelewa ukubwa wake.
* Usiwe na matarajio makubwa: Kumbuka kuwa ni vigumu sana kusahau maumivu ya aina hii.
Mfano wa ujumbe:
"Habari yako [Jina la mume wa aliyekuwa mpenzi wako]. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya yale yote niliyokufanyia na nilihitaji sana kukueleza jinsi ninavyojuta. Najua hakuna kitu kitakachoweza kurekebisha yaliyopita, lakini nataka ujue kuwa ninajuta sana kwa maumivu yote niliyokusababishia. Naomba unisamehe."
Kumbuka: Ni muhimu sana kuwa tayari kukubali matokeo yoyote ya mazungumzo haya. Mume wa aliyekuwa mpenzi wako anaweza kukusamehe, au asiweze. Jambo muhimu ni kwamba umeonyesha majuto ya dhati na umejitahidi kuomba msamaha.
Tahadhari: Ni muhimu kutambua kuwa kuomba msamaha sio dhamana ya msamaha. Kila mtu ana njia yake ya kushughulikia maumivu na inaweza kuchukua muda mrefu sana kupona.
Ushauri: Ikiwa unahisi unahitaji msaada zaidi katika kushughulikia hali hii, unaweza kuzungumza na mshauri wa kisaikolojia.
Wewe ni mchaga? Maana, wachaga ndiyo wana kamchezo haka. Unaambiwa na kaka na watoto wako wanaambiwa anko kumbe mshikaji na wengine tena ni kaka na dada. Amini nawe yako itavurugwa kama ulivyoruga ya mwenzako. Kimsingi, umejiumiza mwenyewe. Siku moja utakumbuka maneno haya.Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?
Vijana mambo mengi hawa.Wewe ni mchaga? Maana, wachaga ndiyo wana kamchezo haka. Unaambiwa na kaka na watoto wako wanaambiwa anko kumbe mshikaji na wengine tena ni kaka na dada. Amini nawe yako itavurugwa kama ulivyoruga ya mwenzako. Kimsingi, umejiumiza mwenyewe. Siku moja utakumbuka maneno haya.
Unajua mwanaume ukiwa na akili nzuri kabisa ukifikiria maumivu unayoyapeleka kwenye familia ya mtu mwingine hauwezi jaribu hata kumsogelea mke wa mtu, alafu madhara yanagusa hata watu ambao hawausiki kabisa.wakati unamlomba na kumshawishi si ulijua? Ulishawahi kuhisi maisha watakayoishi watoto wao baada ya wao kutengana? Hapo ulipokua kulikua na wanawake wangap mpaka ufuate mke wa mtu unayejua fika?
Kila siku tunasema humu mnaharibu maisha ya watoto wa watu mnaharibu familia hamsikii hiyo laana ya hao watoto wakitangatanga itakutafuna maisha yako yote
Hili jambo limenigusa na nimekuombea ushauri kwa watu naowaamini mkuu. Ushauri ulionishawishi nikuletee hapa ni huu;Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.