Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
ni kinda langu rangi lenye rangi ya chungwa
viungo vyake na mwendo vinanichosha ..nachoka kabisaaa
nashindwa nyumbani kwao wamezingira ukali..nachoka kabisaaaaaaa