..Najutaaa.

..Najutaaa.

Asante kwa kukiri umechoka!
Basi ndug kipaji halisi waache vijana wenye nguvu waendelee!
 
Last edited by a moderator:
...............unayaskia maumivu makali kupita kiasi,...... maumivu si mzaha........
 
...............unayaskia maumivu makali kupita kiasi,...... maumivu si mzaha........

mambo vp jamaa yangu ,maumivu ya nini tena? Wewe si unapenda kudonoa donoa tu? Kama vp tangaza nia masela tupitishe daftari na bakuli mtaani .
 
Back
Top Bottom