Olduvai Gorge
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 109
- 117
Baada ya kutokea kilicho tokea leo, nikaanza kufuatilia wanachokisema walio ondoka, nikawa siwaelewi!
Sasa muda si mrefu, katika kipindi fulani ktk Wasafi FM cha akina Charz na Osca, nikasikia majibu ya Mwalimu kuhusu tuhuma kuwa yeye na Kigaila kwamba wazazi wenzao kuwemo ktk kundi la kovid-19, akajibu kwamba akina Lissu na Heche hawakutakiwa kusema hayo, wao walitakiwa waeleze sera, malengo na falsafa ya chama tu! Kwamba hata kama ni kweli, lkn hayakuwahusu hayo!
Hii imenishtua sana na kushangaa kwamba kama kweli mh. Mbowe alikuwa msafi kama nilivyo mwamini, aliwezaje kuendelea kuwaacha hawa watu ktk uongozi wa chama hiki cha ukombozi ambacho kila kukicha watu wanaouwawa kwa kuendelea kukiamini?
Kwanini hakuwaambia waondoke ili kukinusuru chama?
Kwakweli, najuta kwa kuwekeza imani yangu kwake kwa muda wote huo bila kugundua hilo!