Olduvai Gorge
Senior Member
- Aug 22, 2015
- 109
- 117
Hivi kuna mtu alikuwa haamini wale COVID 19 MBOWE hahusiki?
Kwani ilihitajika akili kiasi gani kujua uhusika wa MBOWE.
Mimi sikuamini hivyo, hadi baraza kuu linawakabili na kuwafukuza, sikuamini ushiriki wa Mh. Mbowe!Hivi kuna mtu alikuwa haamini wale COVID 19 MBOWE hahusiki?
Kwani ilihitajika akili kiasi gani kujua uhusika wa MBOWE.
Ktk hii dunia, watu wa aina zote tunaishi, yaani wenye akili nyingi kama wewe na sisi wenye akili kidogo! Lkn akili yangu hihi ndiyo iliyo nifikisha ktk uelewa huu wa leo! Kwahiyo bado unanisaidia vizuri tu!Usijute, pengine ndio kiwango chako cha akili kiko chini aana. Tafuta waaokuzidi akili uongee nao kwanza. Kama darasa ni ulikuwa wa pili kutoka mwisho, usiiamini sana akili yako kwa kuwa awali ilishakufelisha
Walisema wakiwa nyumbani na wake zao hawazungumzii siasaMimi sikuamini hivyo, hadi baraza kuu linawakabili na kuwafukuza, sikuamini ushiriki wa Mh. Mbowe!
Sasa lkn, kama wake za Mwalimu na Kigaila walikuwemo, Mbowe alishindwa nini kuwahoji hata pembeni kamba yeye hajui kweli?
Nadhani ndo maana Lissu kumrejesha JJ kubwa KM, nadhadhani wao walijua mengi kuliko sisi!
We Fala umenichekesha kweliUsijute, pengine ndio kiwango chako cha akili kiko chini aana. Tafuta waaokuzidi akili uongee nao kwanza. Kama darasa ni ulikuwa wa pili kutoka mwisho, usiiamini sana akili yako kwa kuwa awali ilishakufelisha
Haya siyo mambo yao, ni yetu sote! Mimi naamini ktk kubadilisha uongozi kupitia mfumo wa vyama vingi. Naamini ni sisi wananchi ndiyo tutabadilisha nchi kwa kubadilisha uongozi na ikiwezekana chama.
Mbowe katuchezea sana akili yeye na hawa wahuni.Kuna watu kila siku mambo yakiwaharibikia lazima wamsakame Mbowe.Yeye kakaa kimya watoto wanachezea kaa la moto badala kuachia kaa la moto,wanamtamka Mbowe.Miezi minne tu kuna msambaratiko wa kufa mtu.Uongozi ni neema sio makasiriko na visasi.
Usimwamini MchagaBaada ya kutokea kilicho tokea leo, nikaanza kufuatilia wanachokisema walio ondoka, nikawa siwaelewi!
Sasa muda si mrefu, ktk kipindi fulani ktk Wasafi FM cha akina Charz na Osca, nikasikia majibu ya Mwalimu kuhusu tuhuma kuwa yeye na Kigaila kwamba wazazi wenzao kuwemo ktk kundi la kovid-19, akajibu kwamba akina Lissu na Heche hawakutakiwa kusema hayo, wao walitakiwa waeleze sera, malengo na falsafa ya chama tu! Kwamba hata kama ni kweli, lkn hayakuwahusu hayo!
Hii imenishtua sana na kushangaa kwamba kama kweli mh. Mbowe alikuwa msafi kama nilivyo mwamini, aliwezaje kuendelea kuwaacha hawa watu ktk uongozi wa chama hiki cha ukombozi ambacho kila kukicha watu wanaouwawa kwa kuendelea kukiamini? Kwanini hakuwaambia waondoke ili kukinusuru chama?
Kwakweli, najuta kwa kuwekeza imani yangu kwake kwa muda wote huo bila kugundua hilo!
Ndiyo maana ya transparency, unanadi vipi sera wakati ndani ya chama una watu wanaolala na mamluki wanaokisaliti chama?nikasikia majibu ya Mwalimu kuhusu tuhuma kuwa yeye na Kigaila kwamba wazazi wenzao kuwemo ktk kundi la kovid-19, akajibu kwamba akina Lissu na Heche hawakutakiwa kusema hayo, wao walitakiwa waeleze sera, malengo na falsafa ya chama tu! Kwamba hata kama ni kweli, lkn hayakuwahusu hayo!
Baada ya kutokea kilicho tokea leo, nikaanza kufuatilia wanachokisema walio ondoka, nikawa siwaelewi!