Najutia kiwango cha imani yangu nilicho kiwekeza kwa Mbowe baada ya kumsikiliza Mwalimu akizungumza

sasa na wewe akili zako bangi.
Hebu tuekeze uhuni mmoja tu mliofanyiwa ambao sasa umejulikana
 
..Mbowe hakuhitajika, wala kuhusika, kuwapeleka covid-19 bungeni.

..yale yalikuwa maagizo kutoka juu, na hakuna mtu angeweza kuyapinga au kuyahoji.

..Jpm na genge lake walikuwa juu ya sheria.
Tundu Lissu angepinga na kuhoji.
 
Kuna watu kila siku mambo yakiwaharibikia lazima wamsakame Mbowe.Yeye kakaa kimya watoto wanachezea kaa la moto badala kuachia kaa la moto,wanamtamka Mbowe.Miezi minne tu kuna msambaratiko wa kufa mtu.Uongozi ni neema sio makasiriko na visasi.
CHADEMA ilikuwa sawa na Kovu ambalo juu juu linaonyesha kuwa Kidonda kimepona, kumbe ndani kuna USAHA. Kuna uozo.
Tabibu amepatikana.
Ametoboa TOBO, Usaha unatoka.
Ni muhimu sana kukamua zaidi ili Usaha wote uishe.
Wachumia tumbo wote wanatakiwa waondoke.
Wasisubiri kufukuzwa.
Eti Benson Kigaila na Salum Mwalimu, ambao WAKE zao wamo kwenye Kundi la COVID-19 wakipokea Mishahara na Posho Bungeni bila kuwa na Chama, wanasema CHADEMA ya sasa inafanya maamuzi bila Vikao.
Huu ni utani wa hali juu.
This is a joke.
CHADEMA yao chini ya Mbowe ilikuwa inasema haijui nani aliwapeleka Covid-19 Bungeni, kumbe katika hao Covid-19 kuna Mke wa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu na Mke wa Naibu Katibu Mkuu Bara, Benson Kigaila.
Hii ni moja ya maajabu duniani.
 
Mi mpaka leo bado na amini Mbowe ni Gaidi ila ni swala la mda tu.
 
Mchaga na pesa anakusaliti mapema kabisa
 
Aisee Siasa ni mchezo mchafuuu!!!......Ishi maisha yako, hali kinachokuingizia kipato, atakaye ingiza kwenye njia yako deal naye ( ikiwezekana muuee )....hio ndio iwe siasa yako full stop!!
 
Tatizo la Mwalimu kaongea kwa busara na falsafa ya hali ya juu kwa wewe na Lissu kutokuelwa. Ni kwamba, suala la hao mnaowaiya Covid 19 Mbowe, Lissu, Mnyika, Kigaila, Mwalimu wanalijua uzuri kama Kamati Kuu. Na busara za Kiongozi mzuri huropokiropoki kila kitu. Maana yake unatakiwa kuwa na "management confidentiality"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…