Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
 
Sisi wazaramo tunasema mwanakulitafuta mwanakulipata🏃🏃🏃
 
Bora hata wewe ulishamuona live, kuna mwamba aliona jiko facebook huko akatongoza wakakubaliana, binti ni mzenji jamaa kavaa kanzu kapeleka mahari...ubwabwa ukaliwa mwezi uliofata ndoa ikafa kibudu.
 
We jamaa inabidi ukatwe kichwa uwekewe kingne chenye ubongo,
Ambacho unashindwa kusema ni nini na haya maFake IDs,ama ni kipya kipi unakipitia kwny mahusiano yako ambacho unahisi hakuna mwngne kapitia
 
We jamaa inabidi ukatwe kichwa uwekewe kingne chenye ubongo,
Ambacho unashindwa kusema ni nini na haya maFake IDs,ama ni kipya kipi unakipitia kwny mahusiano yako ambacho unahisi hakuna mwngne kapitia
Hizi changamoto zina umiza ukiwa ni toomuch invested alafu unagundua kuwa umechochora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…