Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone

Pole Sana Mkuu...Tatizo ni Facebook au Tabia Mbovu za huyo Dada? Mbona Wengi wapo Facebook na ndoa zao zinaenda fresh?

GN.jpg
 
Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha.
Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote.
Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri.
Maisha kusonga tukiwa tumepoteana niko kwa online Facebook ndipo nikamuona tena akiwa na rangi yake nzuri mcheshi kwenye picha dah.
Kutokana na usingle wangu wakitambo nikamtongoza Facebook bhanaa nika mpa ahadi kuwa lazima nitakuoa.
Mwamba nikapata vijicent vyangu vya mahari nikaenda kwao chap nikavuta chombo ndani.
Yaani bila kukaa kwa uchumba live pasipo hata miezi 3.
Ndugu yenu ninayo pitia kwa sasa heeh.
Nikiorodhesha naweza msimalizie hii thread.
Sasa Age 40+ Sijui dah acha tuone
We acha uboya usilazimishe nyota piga chini mara moja ndoa ni furaha amani na utulivu wa mwoyo vikitoweka ndoa inakua aina maana, hata asinge kua wa fb hao viumbe ndo walivo.
 
Ndo niko njiani kichukua Usingle
 
Unaniangusha Officer unakimbizaje kuku mweusi gizani.
 
Back
Top Bottom