Najuuta kuusikiliza ushauri wa mama watoto

ukiashauriwa changanya na mawazo yako the tafakari after then chukua hatua
 
Mkuu sasa unashangaa nini mkewe kajua kwakuwa ameshakupata inabidi akuoteshe kitambi usivutie tena huko nje na kafanikiwa wewe sasa ongeza na nyama choma night kali mchezo umeisha,mfurahishe wife kwa kutopendeza tena na kuharibu soko lako.
 
hahahahahhaa hii kitu mbona haiingii akilini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…