Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
ukiashauriwa changanya na mawazo yako the tafakari after then chukua hatua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa unashangaa nini mkewe kajua kwakuwa ameshakupata inabidi akuoteshe kitambi usivutie tena huko nje na kafanikiwa wewe sasa ongeza na nyama choma night kali mchezo umeisha,mfurahishe wife kwa kutopendeza tena na kuharibu soko lako.Kabla hatujaoana nilikuwa nafanya sana mazoezi kwa ajili ya kujiweka fit na ili niwe na mivuto hasa kwa wasichana na wavulana wavivu wanaotamani miili ya wenzao wafanya mazoezi huku wao wakijiachia na vitambi.
Siku zote nilivichukia sana vitambi na mchumba wangu wa kipindi hicho ambaye sasa ni mke wangu alilijua hilo.
Muda wa honeymoon sikuweza kabisa kufanya mazoezi, wiki tatu za fungate nikaanza kuhisi mabadiliko mwilini mwangu.
Wife akanishauri nijaribu valeur inapunguza mafuta. Nilicho kipata sasa ni kwamba sina tena uwezo wa kufanya mazoezi, valuer ziinanifanya nile sana, nimekuwa na kitambi kama mimba.
Pia nimekuwa mlevi na mtumwa wa pombe, nisipogida silali. Yaani bora nisingesikiliza ushauri