Najuuuuuta Kuifahamu

Najuuuuuta Kuifahamu

Nashukuru M.M na wengine wote mliochangia thread hii, kwakweli JF ni kitu cha aina yake, nawashukuru sana walioanzisha jukwaa hili, sikumaanisha kuwa nimeichoka JF isipokuwa nilitaka kuwaonyesha jinsi gani ilivyoteka akili yangu, ulichosema Mwanakijiji ni kweli kabisa, JF isipokuwa hewani nitashinda mchana kutwa najaribu kucheki kama imerudi au vipi, na nikiingia ofisini kabla hata sijacheki kama kuna email toka kwa bosi wangu lazima kwanza niangalie JF kuna nini, kwakweli Mungu awabariki kina Invisible, Maxence Melo na Mods wengine nisiowafahamu.
 

Najuuuuuuta kuifahamu JF...nimeshakuwa addicted.
We acha tu mwenzio trimester hii nisiporeseat paper kwa sababu ya kutumia muda mwingi hapa JF nitamshukuru Mungu. Ila inasaidia kukubakiza ndani!
 
Back
Top Bottom