Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

Kwa nini aendelee kuwa kwenye dampo la CCM,sasa hivi mshaanza kufanya dili na matunda sumu amabayo tunaka kuyaanagamiza.Kwa sababu nyie ni dampo mna kemikali za kusafisaha ili myale,lakini hayatafaa kwa nchi yetu tukufu.Hatutaki turudi nyuma ,daima mbele,CCM hoyee.
 
Manatakiwa kumwambia katibu wenu mkuu kuhusu condom,asije akaangamia kuvizia wake za watu na malaya wa PIMP Mbowe.
 
It seems huyu ilikua ni njaa tu,mbona alichosema hapo hakifanani na afanyayo sasa! Au ndo kasha ahidiwa ukuu wa wilaya! Jaman tamaa inaua ona huyu kashapotea!
 
It seems huyu ilikua ni njaa tu,mbona alichosema hapo hakifanani na afanyayo sasa! Au ndo kasha ahidiwa ukuu wa wilaya! Jaman tamaa inaua ona huyu kashapotea!

Nakaaya apewe ukuu wa wilaya? Walitegemea kumpa viti maalum endapo CCM wangechukua jimbo la Arusha.
Masikini dada watu kachemka sana sizani kama sasa hivi kama ana uwezo wa kupanda jukwaani na kuongelea siasa, kwa Arusha akifanya hivyo nadhani machalii watampopoa na mawe!
Mnafiki mkubwa alikuwa anajifanya anaichukia CCM na kujifanya mwanamapinduzi wa kweli sasa kachemka na wamemuacha kama toilet paper iliyotumika.
 
Hii ilijadiliwa zamani, imerudi vipi humu tena?
 
Siyo uamuzi mmbaya as far as concern angekuwa tofauti sana na wasanii wenzake wa kibongo vilaza wa kutupa ambao hata mlango wa darasa hawaujui wamemkimbilia jk ili awatoe kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…