Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

nancysumari.jpg


Arusha pesa zilikuwa nje nje. Sijui alipewa kiasi ngapi.
 
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM ndicho chama pekee Tanzania.

Ingekuwa Dr. Slaa karudisha tungeshangaa. Waende hawa wenye tamaa!
 
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM ndicho chama pekee Tanzania.

Ni uamuzi mzuri, amefanya vizuri sana maana huko alikoenda saa hizi akiwakatia kiuno vizuri jukwaani atapata ubunge hata wa kuteuliwa.

Nakaaya imba nyimbo kama vile:
yeleleyelele.............kikwete yeleleyelele wanawake.......

utakuta ubunge huo mmmwaaa umekumwagikia.
 
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM ndicho chama pekee Tanzania.[/Q

Thibitisha basi hata kwa picha kama yule Taahira wa CCj akiwa na mwalimu wa UPE.!!
 
Hana jipya huyu njaa ndo imempeleka, alitaka ubunge wa chee kupitia CHADEMA, ameona uwezekano ni mdogo wa kupata ndo maana akakimbia. Hana jipya anashinda anjiuza hapa Arusha kwenye bar ya Empire. Kwa yeyote atakayekuja Arusha afike EMPIRE SPORTS BAR utamkuta akiwa amevaa vinguo vya kuvutia "wateja"!!
 
Hana jipya huyu njaa ndo imempeleka, alitaka ubunge wa chee kupitia CHADEMA, ameona uwezekano ni mdogo wa kupata ndo maana akakimbia. Hana jipya anashinda anajiuza hapa Arusha kwenye bar ya Empire. Kwa yeyote atakayekuja Arusha afike EMPIRE SPORTS BAR utamkuta akiwa amevaa vinguo vya kuvutia "wateja"!!
 
Hana jipya anashinda anajiuza hapa Arusha kwenye bar ya Empire. Kwa yeyote atakayekuja Arusha afike EMPIRE SPORTS BAR utamkuta akiwa amevaa vinguo vya kuvutia "wateja"!!

Hili ndilo mnaloliweza sijui mkoje..au MA pale kati inasimama badala ya MATUSI
 
mie naona ilikuwa mkubali mmepoteza kiustaarab na muache hayo matusi yasio na maana
 
Ukifuatilia kampeni za ccm utapata sababu za Nakaaya kukimbilia huko. CCM haina hoja za kuwavutia wasikilizaji wake kwenye mikutano yao ya kampeni. Asilimia takribani 80 za muda wao wa kampeni hutumia kutumbuiza adhara iliyopo, zinazobakia ndio hutumika kuwasilisha hoja zao kwa wananchi.

Kwa hiyo haishangazi kuona wanaongeza msanii mwingine, kwani wataingia mzunguko wa pili muda si mrefu hivyo wanahitaji vitu vipya vya kisanii.

Fikiria, JK anafikia hatua ya kuomba msanii fulani apande jukwaani kuburudisha badala ya yeye kuendelea kushawishi wasikilizaji wake ili wamchague. Alifanya hivyo kwenye Uwanja wa Sokoine pale Mbeya, alimwita Kazita kwa sauti akitumia kipaza sauti na kusema "Kazija njoo utuibie wimbo wako." Kazija hakutokea, naye akateremka kutoka jukwaani ukawa mwisho wa hotuba!!!

Kampeni za CCM ni fiesta nyingine, haina tofauti na ile inayojumuisha vijana wa muziki wa izazi kipya. Safari hii hata Komba hana nafasi, amefunikwa na kina Malowa, Bushoke, Kazija, kina Juma Nature na wengine!! VK sasa mambo yametulia, hajisumbui sana, kwa hiyo anahitajika wa kuchukua nafasi yake!!!!
 
ukifuatilia kampeni za ccm utapata sababu za nakaaya kukimbilia huko. Ccm haina hoja za kuwavutia wasikilizaji wake kwenye mikutano yao ya kampeni. Asilimia takribani 80 za muda wao wa kampeni hutumia kutumbuiza adhara iliyopo, zinazobakia ndio hutumika kuwasilisha hoja zao kwa wananchi.

Kwa hiyo haishangazi kuona wanaongeza msanii mwingine, kwani wataingia mzunguko wa pili muda si mrefu hivyo wanahitaji vitu vipya vya kisanii.

Fikiria, jk anafikia hatua ya kuomba msanii fulani apande jukwaani kuburudisha badala ya yeye kuendelea kushawishi wasikilizaji wake ili wamchague. Alifanya hivyo kwenye uwanja wa sokoine pale mbeya, alimwita kazita kwa sauti akitumia kipaza sauti na kusema "kazija njoo utuibie wimbo wako." kazija hakutokea, naye akateremka kutoka jukwaani ukawa mwisho wa hotuba!!!

Kampeni za ccm ni fiesta nyingine, haina tofauti na ile inayojumuisha vijana wa muziki wa izazi kipya. Safari hii hata komba hana nafasi, amefunikwa na kina malowa, bushoke, kazija, kina juma nature na wengine!! Vk sasa mambo yametulia, hajisumbui sana, kwa hiyo anahitajika wa kuchukua nafasi yake!!!!

usiache mbachao kwa msaala upitao...

hawa wasaniii [bongo flava]wa ruge kila siku tunaingia kwenye show zao na ma concert tunawapa pesa...leo hii pesa za miezi miwili wanazolipwa na kiwete kwa ajili ya kampeni ..zinafanya wasahau maudhui ya nyimbo zao ambazo nyingi zinaongelea taabu wanazopata vijana .......

dawa yao ni moja tu ...ni kususia kazi zao na matamasha yao......kama huyo kikwete anaweza kuwalipa mishahara hadi mwaka 2015..awalipe watakuwa wamejifunza....

nawapa pongezi wasanii wote waliokataa kutumika kisiasa kipindi hiki..........haikatazwi kupanda mara moja .....lakini wasaniii hawa wamefanya too much....
 
Back
Top Bottom