Nakaaya Sumari aachana na siasa; akiri hana passion nayo

Nakaaya Sumari aachana na siasa; akiri hana passion nayo

Atakuwa alirubuniwa na shemeji yake L.Nyalandu
 
Huyu alitaka kuongeza umaarufu, baaada ya uanamuziki ashike na siasa pia,
lakini alikosea step kwani alikuwa na haraka mno na mambo,
Move yake ya kupewa kadi ya CDM pale Arusha Crown Hotel na Lema mbele ya waandishi wa habari ilikuwa ni nzuri,
Na step ya pili kuchana kadi ya CDM mbele ya Kikwete, ilikuwa imewahi mno na haikuwa kwenye right time, ilikosa mvuto
Baada ya hapo kwenye siasa hana move tena, ndio kwishneh
 
Nmpongeza kwani wakubwa walifaidi. Used motovehicle.
 
Bado anaumri mdogo anaweza sawazisha alipokosea au akapata ushauri mzuri akarudi kwenye game ya siasa utoto ulimsumbua pindi ile.
 
Angeombea tu Jimbo la baba yake kupitia hao hao magamba.
Hili jimbo sijui kwanin spika au NEC hawalitangazi liko wazi
 
tunda limeliwa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
kwani alishauriwa na jaji ian alidhani siasa ni tusker project fame unakaa kambini kwa muda.. Mpaka aseme ni kitu cha muda fupi>>. Muone ndiyo maana mijitu imeloweka minani hiii yao
 
yeye wamemfanya kama zile karatasi wanazotymia akina dada wanapokuwa safari za anga. wakishatumia wanatupa na hawataki tena zionekane hizo karatasi inagwa wakati zaikfanya kazi zilionekana za maana.....huyo ndiyo nakaaya...wamemtumia sasa it is ova!!!!!
Mtego wa noti, asante, signature yako nzuri sana.
 
Tatizo lake alitaka unape mapema,siasa mapambano ni wachache sana wanaoingia kwenye siasa wakafanikiwa,atulize akili sio kukurupuka tu mara leo cdm kesho ccm hufiki mbali,huruma sana kwa kijana kama ww kukata tamaa mapema kilichobaki uolewe uwe mama wa nyumbani unaweza kutuzalia mwanaharakati ila ni aibu sijui utamwambia nn mwanao,mrs politician
 
mjinga huyu mtoto katupoteza mashabiki wake, we ulidhani kurudisha kadi ya chadema na kupewa ya ccm ungekuwa kama vick kamata, sasa jk ataowa wangapi? mmejiharibia mwenyewe
 
Tunamsubiri 2015 huyu shosti, wala si mbali tuombe uzima tuu! tutamsikia tena na tena, na wazee wajuaji wataloweka tena! labda anywe sumu before kwa ajili ya frustrations!
 
si kosa lake, alifikiri siasa ni kama kucheza filamu, alipoingia CDM angebanana na akina Kiwelu, Mdee, Lyimo, na wengine ajifunze siri ya mafanikio yao si kuwaza kubebwa, CDM
Umaarufu wa style ya akina Komba hauna nafasi, lazima uwe mpambanaji. CDM hakuna kuuza sura!!!
Hata hivyo asili yake ni magambani hawezi ku match na makamanda, ni legelege.

umaarufu wa
 
hanalolote mnafiki mkubwa huyo, Lema alimwiingiza chadema na kumpatia kazi pamoja na gari la kutembelea iliaweze kukijenga chama kwakupitia akina mama na wale dada wa mjini. kiukweli alifanikiwa kwa kiasi kikubwa, ila aliingizwa tamaa na kuahidiwa kupewa nafasi kubwa katika chama cha chukua chako mapema(ccm) akaacha ukombozi wa kweli (chadema) na kukimbilia huko.

waliposhindwa uchaguzi wa ubunge naye shughuli yake ikaishia pale pale, mpaka sasa kila apitapo arachuga huzomewa na kuitwa msaliti wa ukombozi.
 
kumbe mlimuhonga sio? si mnadai cdm ni chama cha waadilifu? mbona mnatembeza rushwa sioni unafiki wake ndo maana kakiri hana passion na siasa mlimrubuni na ccm wakamrubuni pia so ngoma droo
 
duh! bora hata asingetangaza. Ivi atarudi tena CHADEMA ama sa ivi atahamia UDP?
 
kumbe mlimuhonga sio? si mnadai cdm ni chama cha waadilifu? mbona mnatembeza rushwa sioni unafiki wake ndo maana kakiri hana passion na siasa mlimrubuni na ccm wakamrubuni pia so ngoma droo

Acha ushambenga.. kuna kuhongwa hapa? kupatiwa gari iliujenge chama kwa akina mama umehongwa? angalikuwa amepewa gari kuwa ni lake na kadi hapo hata mimi nisingekubali.
 
Duh huyu dada sikuizi yuko Arusha kaajiriwa kama Receptionist kwenye Tour company inaitwa DMC Safaris ya jamaa mmoja anaitwa Erasto , nazani kashammaliza ndo ka mfava ajira
 
Back
Top Bottom