Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Hebu iweke vizuri!! Kugombea ubunge CHADEMA ina maana wa viti maalumu?
Hivi karibuni Msanii Nakaaya Sumari aliamua kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa lengo la kufanya siasa.Pamoja nakujiunga na chama hicho lakini Nakaaya anatarajia kugombea Ubunge kwa lengo la kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa..Nadhani baadhi yetu tumeshamsikia akieleza nia yake hii..Kwa sasa yuko huko Arusha anajipanga namna ya kupambana..
hongera nakaaya.wewe si tu mwanamke wa shoka bali nakuita kidume,sio mwoga ,unauchungu na nchi,si mnafiki.makofi kwako.wanafiki walivalishwa tisheti, kwanza ni waoga maisha pilui nja kali ngoja niwataje,mwana fa,chidi benz,prop j,jo si makini,diamond,nawooote waliokuwa nao.walikuwa wa kwanza kupiga vibao vya kuiponda serikali ya ccm kwamba inashindwa kutunga sheria ya haki miliki ,hawafaidi jasho lao leo sheria haijatungwa wameshavaa tisheti wanafiki wakubwa,njaa kali vigeugeu wakubwa ,wasaliti wa vijana,wachumia tumbo kama kuku akishibishwa kidogo huvuruga kila kitu.Nakaaya tafuta jimbo ukipata nitaarifu kupitia hapa hapa jf nitakupa suport[wana jf mumtarifu kamasi msomaji wa forum hii]huwezi kujiita mwana hip hop kama si mgumu.nawashauri chd,profesa,na jo makini wakaimbe taarabu ndiko unaweza kuimba usichomaanisha.hip hop is a real thing.

Kusema vile hakumaanisha kudharau wanawake..nadhani umemuelewa vibaya!Kwani mwanamke hawezi kuwa na sifa hizo?acha kudharaulisha wanawake.