hongera nakaaya.wewe si tu mwanamke wa shoka bali nakuita kidume,sio mwoga ,unauchungu na nchi,si mnafiki.makofi kwako.wanafiki walivalishwa tisheti, kwanza ni waoga maisha pilui nja kali ngoja niwataje,mwana fa,chidi benz,prop j,jo si makini,diamond,nawooote waliokuwa nao.walikuwa wa kwanza kupiga vibao vya kuiponda serikali ya ccm kwamba inashindwa kutunga sheria ya haki miliki ,hawafaidi jasho lao leo sheria haijatungwa wameshavaa tisheti wanafiki wakubwa,njaa kali vigeugeu wakubwa ,wasaliti wa vijana,wachumia tumbo kama kuku akishibishwa kidogo huvuruga kila kitu.Nakaaya tafuta jimbo ukipata nitaarifu kupitia hapa hapa jf nitakupa suport[wana jf mumtarifu kamasi msomaji wa forum hii]huwezi kujiita mwana hip hop kama si mgumu.nawashauri chd,profesa,na jo makini wakaimbe taarabu ndiko unaweza kuimba usichomaanisha.hip hop is a real thing.