Nakabilianaje na changamoto ya panya kwenye zao la mpunga

Mhina Martin

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
144
Reaction score
189
Habari Bado napambana Na harakati za mpunga kwa sasa shamba langu La mpunga ushavuka Siku 50 ila nimechunguza ndani ya ndiwa zangu panya wameanza kukata ingawa maji yamejaa sasa wasije wakanipa hasara na ulipofikia nishapiga UREA, wazoefu waliokutana na changamoto Kama Hizo naomba tushare hapa Nini nifanye nikomeshe hawa panya.

Picha zaida za mpunga Hizo


Your browser is not able to display this video.
 
Wapunguze kwa kuwatega kwa mitego ya panya ya kawaida, sumu na gundi. Washirikishe na kuwahamasisha na wenzako, kila mtu akiwatega watapungua.

Hao jamaa ni janga kwa wakulima.
Sawa Mkuu ngoja nifanye hivyo niwagee sumu angalau wapunguze Kasi japo wakiwahi kunywa maji sumu haifanyi kazi Tena
 
Fuga paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…