Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Habari Bado napambana Na harakati za mpunga kwa sasa shamba langu La mpunga ushavuka Siku 50 ila nimechunguza ndani ya ndiwa zangu panya wameanza kukata ingawa maji yamejaa sasa wasije wakanipa hasara na ulipofikia nishapiga UREA, wazoefu waliokutana na changamoto Kama Hizo naomba tushare hapa Nini nifanye nikomeshe hawa panya.
Picha zaida za mpunga Hizo
Picha zaida za mpunga Hizo