Nakadori nimezaliwa leo

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Mambo ni ajee

Basi bwana Leo tarehe 23 ni birthday yangu... nijitakie heri ya siku ya kuzaliwa....

Huu mwaka kwangu ulikuwa wa majonzi na kilio sana....kifupi nilipitia mazito so nilikuwa na sababu zote za kumshukuru Mungu lakini pia kujipatia furaha...

Jana nilijitoa out nikapata wine za kutosha na nyama nyama na Leo nimejikatia keki japo mtengeneza keki ameniangusha kwa kiasi flani...

Mda huu niko tayari kupokea zawadi za kila aina kutoka kwenu familia yangu ya JF.
 
Hongera kwako mkuu Nakadori. Mungu akupe maisha marefu
 
Hongera sana Nakadori
Ifurahie siku yako 🎂
 
Weka picha yako kwanza ili tujue inaendana na kutakiwa hepibazidei tu yu au tukutakie heri ya sikukuu ya nanenane!!
 
Hongera kwa kufikisha miaka 57, karibu huku mbugani angalau ushangae shangae hata tumbili, nyoka, sungura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…