Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Mambo ni ajee
Basi bwana Leo tarehe 23 ni birthday yangu... nijitakie heri ya siku ya kuzaliwa....
Huu mwaka kwangu ulikuwa wa majonzi na kilio sana....kifupi nilipitia mazito so nilikuwa na sababu zote za kumshukuru Mungu lakini pia kujipatia furaha...
Jana nilijitoa out nikapata wine za kutosha na nyama nyama na Leo nimejikatia keki japo mtengeneza keki ameniangusha kwa kiasi flani...
Mda huu niko tayari kupokea zawadi za kila aina kutoka kwenu familia yangu ya JF.