Nakaribia kubaki skeleton, nifanyeje kurudisha mwili wangu?

Napiga za kiwango mchemsho + kitimoto na makwasukwasu na nna umbo la kawaida kbs
Unakunywa kwa afya mkuu. Sio unapiga mpaka unalala kwenye mtaro wa maji machafu. Unapiga mbili plus supu + mchemsho + ndizi nyama. Usipopata afya hapa unakuwa unashida mahali
 
Kiongozi, una hakika hayo yanayokutokea hayahusiani na hizi vurugu za mwamba magu?
 
Kwanza nikupe pole, na nikutie moyo kuwa sio wewe peke yako. Ni wengi mitaani wamekonda, sio kwa kutaka bali kwa kukazimishwa ika usijali sana maana mwakani mambo yanaenda kuwa murua. Kikubwa washawishi na wenzako wakapige KURA kuchagua maisha wayatakayo. MATAGA
 
Duu mkuu itakuwa ni umbo la kurithi mkuu sisi wengine bia zinatupenda kuliko wake zetu. Mm nisipokunywa bia wiki 2 lazima suruali ianze kushuka.
Napiga za kiwango mchemsho + kitimoto na makwasukwasu na nna umbo la kawaida kbs
 
Embu kula mbuzi katoliki na ndizi 3 (ya kuchoma iko poa zaidi) na bia deile, then after 2 month ukuje hapa
 
Kula vyakula vya wanga kwa wingi

Kula vyakula vya sukari kwa wingi

Punguza mazoezi

Usilale sana, kupumzika vya kutosha kunasababisha weight kupungua (Kuna watakaoguna hapa)
 
[emoji120][emoji120][emoji120] Asante sana mr shirima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…