Nakaribia kununua pikipiki kampuni gani nzuri kwa mishe za mtaani?

Natafuta sana hii chombo yyt anayeweza jua bei na location pa kuipata kwa hpa tz ni “haojue tf 150” a.k.a “Sababu”
 

Attachments

  • IMG_0628.png
    83 KB · Views: 27
Issue za vijijini nunua haoujue. Iko imara sana. Ninayo ni mwaka sasa haijapata tatizo hata moja. Kazi kazi.

Ika kama unataka mwonekano mzuri kulingishia vimwana chukua tvs au boxer.
Achana na kitu boxer bwana kwa kuwazuzua warembo ndio yenyewe kama huna uwezo wa gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…