Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
- #41
Bei gani mkuuMkuu kama ni mishe za kijijini chukua huojue au sinoray 125
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani mkuuMkuu kama ni mishe za kijijini chukua huojue au sinoray 125
Sina uhakika sana ila zina range 2.3mBei gani mkuu
Vip uimara wakeSina uhakika sana ila zina range 2.3m
Matumizi yako tu, spear zinapatikana kiraisi coz zinaingiliana na pikipiki nyingine za mchina ila hizi zipo comfortable kidogo coz hazina vibration sanaVip uimara wake
Asante mkuuMatumizi yako tu, spear zinapatikana kiraisi coz zinaingiliana na pikipiki nyingine za mchina ila hizi zipo comfortable kidogo coz hazina vibration sana
Achana na kitu boxer bwana kwa kuwazuzua warembo ndio yenyewe kama huna uwezo wa gariIssue za vijijini nunua haoujue. Iko imara sana. Ninayo ni mwaka sasa haijapata tatizo hata moja. Kazi kazi.
Ika kama unataka mwonekano mzuri kulingishia vimwana chukua tvs au boxer.