Nakaribia kupumzika kwa amani!!!!

Nakaribia kupumzika kwa amani!!!!

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
26
Ndugu zangu naombeni msaada, kila ninapotembea kwa mguu muda fulani maeneo ya kiuno napata maumivu sana kiasi kwamba miguu pia huanza kukosa nguvu !!!!!!! Lakini kila siku natembea kilometa 2 kwenda kazini. tafadhali nisaidieni!

Kilomita mbili kwenda na kurudi au?
Pole sana ndugu.

Kilomita mbili kwenda na kurudi au?
Pole sana ndugu.
Husni fanya umtumie Hoyanga kale kamkweche chako ulichopaki pale uwani...mafuta mi ntakuwa namwekea...tutamkosa jamani...lol..

Km kl ck unatembea 4 km 2 kwenda 2 kurudi umbali uliotembea unaweza kuzunguka bara lote la afrika.WW NI VASCODAGAMA WA 2 TZ.

Husni fanya umtumie Hoyanga kale kamkweche chako ulichopaki pale uwani...mafuta mi ntakuwa namwekea...tutamkosa jamani...lol..

hahahaha! Aisee huyo hoyanga tushamkosa,... Kamkweche ameazima kloro labda ujitolee kumbeba mgongoni.

wacha woga Hoyanga, watu tunacheza soka dk 90 kila siku ndo iwe wewe ufe kwa kutembea, mwone dk bana akufanyie diagnosis/check up ya miguu na kiuno. sometimes ni mgongo/uti wa mgongo na miguu ni either nerves au mifupa, so huna haja ya kujizira, mwone dr. mambo itaenda. dunia imeumbwa tuile na tufurahi siku zote

Hoyanga ukienda mwambie Teacher Nyerere yale material na notc zote alizokuwa anafundishia Ccm aliziweka wapi? Mana wanafunzi wake wote sasa hv vilaza! Msalimie sana Dube!

hahahaha! Aisee huyo hoyanga tushamkosa,... Kamkweche ameazima kloro labda ujitolee kumbeba mgongoni.
Hahaha! Mi mwenyewe natembea klometa 4 kwenda na 4 kurudi, ntamwezea wapi Hoyanga?...nlikuwa na hasira za mgao wa umeme bt huez amin coment za hili sred zimenivunja mbavu..lol..hiyo heading tuu mie hoii.. Amejikatia tamaa mpaka huruma... Madaktari na wajitokeze wamwokoe huyu mtu...

hizi comments hata sielewi zimenichekesha kwa huzuni au furaha.
Jamaa kakata tamaa, tukusanye rambi rambi kabisa.

Back
Top Bottom