Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Asante dr kwa majibu yako mazuri,yamakuwa msaada kwa wengi.Ninapenda kujuwa tofauti ya Lymphocyte percent na absolute lymphocytes.Asante.
Lymphocyte percent ni asilimia ya chembechembe nyeupe za mwili(white blood cells) Kikawaida inakuwa kati ya asilimia 15-40 ya chembe chembe nyeupe mwilini.

Absolute lymphocyte count inapatikana kwa kuchukua lymphocyte percent (asilimia ya chembechembe nyeupe) na uzidishe na (total)jumla ya chembechembe nyeupe mwilini!
 
Ok dr asante,ni vipi kama mtu lymphocyte percent iko juu kidogo,wbc normal na ab
solute lymphocyte ni normal.
 
je tatizo hili linaweza kusababsha paralysis ya lower limb due to compression of conus medullaris????na vp tiba yake kwasabbu nimepga x-ray bt inaonekana normal,nimeshauriwa kutafta MRI au CT SCAN.Msaada wako (yours in the same field)
Inategemea na chanzo kama ni infection,spinal arthritis,trauma n.k. ndio inaweza kupelekea conus medullaris syndrome.

Lakini physical examination ni muhimu hasa ya maeneo ya lower exermities na muscles/tendons za eneo hilo.Tiba ni corticosteroids. Ni vizuri ukichukua hio MRI/CT-SCAN
 
Ok dr asante,ni vipi kama mtu lymphocyte percent iko juu kidogo,wbc normal na absolute lymphocyte ni normal.
Lympocyte percent inatakiwa iwe chini,ikiwa juu ni dalili ya kuwa una maambukizia(infection mwilini).Inaweza kuwa juu pia kama unatumia dawa.
 
Ukijamiiana huwa unaejaculate kama kawaida?au niulize ni kwa kiasi gani?Mkojo wako unamuonekano gani?Je una mchanganyiko na mbegu kama weupe?
 

Mkuu heshima kwako ningependa kujua kama naweza pata tiba mbadala ya tatizo la ini kushindwa kufanya kazi vizuri kama ipo.
 
Kula vyakula vyenye protein za kutosha hasa karanga.Vyakula havisaidii wewe kumimbisha mtu bali ni uimara wa mbegu za kiume,idadi yake na quality.

Ahsante dr. Karanga nile mbichi au. Na nitajuaje kama mbegu zangu ni imara na zina idadi ya kutosha?
 
Mkuu, kwanza asante sana kwa msaada wako katika jukwaa hili,umetusaidia sana! Swali langu ni nawezaje kufanya macho yangu (white layer) yawe meupe?

Situmii bangi wala kilevi chochote, lakin macho yangu hayapo meupe sana, naomba msaada tafadhali!
 
#gorgeousmimi
Uelewa wa ufahamu na kujua maswala ya Tiba na Dawa yamenifanya kuamini pia waweza tambua matatizo/magonjwa.

Nina siku takribani 3 sasa pana hali imejitokeza kwangu najihisi kama kuchoka akili wakati flani ila sijisikii kuumwa zaidi ya mishipa tu ya kichwa hasa upande wa kulia inakuwa teteemeka au kuvimba nakuwa kama mapigo ya moyo nayahisi hapo, na nikishika au tazama naona nikama misuli hivi imesimama. Sijui kama nimeleweka, nahitaji faham nini hii hali na husababishwa na nini na nini tiba yake.

Nahisi ni mawazo maana kabla ya hali kuijitokeza nikikuwa ktk deep thinking ya maswala flani hivi.
 
Mkuu, kwanza asante sana kwa msaada wako katika jukwaa hili,umetusaidia sana! Swali langu ni nawezaje kufanya macho yangu (white layer) yawe meupe? Situmii bangi wala kilevi chochote, lakin macho yangu hayapo meupe sana, naomba msaada tafadhali!
Kuna vitu tofauti vinavyosababisha macho kuwa mekundu,kimojawapo ni kutopata usingizi wa kutosha,uchovu,miongozi ya jua inaweza kusababisha majeraha vilevile kwenye conjuctiva.Kuna dawa inaitwa "RED EYE" Inaweza kutumika kupunguza wekundu kwenye macho.
 

Inaonekana una maumivu ya misuli ya shingo.Ni kawaida kipindi cha stress since umesema una mawazo kuhusu masuala flani.

Massage itakusaidia kuondoa tension kwenye misuli au unaweza kutumia ibuprofen 5% gel kwenye eneo la shingo linalouma.Ni vyema ukiwa physically active pia,fanya mazoezi ya misuli ya shingo.
 

Leo nimekutana na ma-chief wa surgical wame-suspect itakuwa ni kyphosis baada ys kuisoma x-ray tena,so nimeshauriwa kupta physio therapy kuchua diclofenac na kumeza ibuprofen.Je,yaweza kusaidia zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…