Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

DK NA DAWA YA KUTOA SUMU IPI MAANA WENGINE TUMEACHA POMBE TUNATAKA KUVISSFISHA VIMELEA SUGU NDAN
 
Naomba msaada wa tiba, nimepatwa na hali ya aibu, hali yenyewe ni kutosimamisha uume Na kukosa hamu ya tendo Nina muda wa miezi kadhaa sasa ila kwasasa angalau naweza kwa shida shida kidogo. Naomba unielekeze tiba ya hili tatizo.
 
Kwa shida hiyo fika afisini kwetu ama wasiliana nami 0656303019
 
20241009_115054.png

NASUMBUKIWA NA MAUMIVU hayo maeneo yote na niupande mmoja wa kulia mahali panapo onyesha namba 01 ndipo tatizo lilianzia na kusambaa maeneo mengine

Palianza kuwasha na kuuma kwa ndani ila mtu akinipigapiga mgongoni Eneo linalo uma panapoa naomba ushauli nifanyeje

Niupande wa kulia nikivuta pumzika nyingi ndani nahisi Kama kujitonesha kwa ndani naomba ushauli nilipiga x-ray lakini haikuonyesha tatizo. Nikicheka kwa nguvu au kukohoa chini ya kwapa kwenye mbavu kwa ndani kunauma
 
Attachments

  • IMG_20240919_153436_6.jpg
    IMG_20240919_153436_6.jpg
    811.5 KB · Views: 8
  • IMG_20240919_145757_4.jpg
    IMG_20240919_145757_4.jpg
    825.1 KB · Views: 9
Juzi nilispray ndan, dawa ya mbu rungu, Sasa nilipolala asubuh nilipoamka nilipata mafua makali na kichwa kilinigonga sana,

Mafua yamepona ila kichwa kinanigonga sana,hadi mishipa inatoka

Itakua kwasababu ya hiihii dawa au niliyo spray au ?
Kama una elimu japo kidogo ya madawa, basi unaweza elewa ni kiasi gani hatari kukaa ama kulala sehemu iliyopulizwa dawa... Kuna dawa zinashambulia kwa mfumo wa hewa na nyingine ikifika kwenye ngozi tu
 
Habari mkuu,mi na tatizo la nyonga kusagika,nikigusa naona kuna mabadiliko ki shape,nini tatizo na ipi tiba yake?!,,nilienda hospital wakaniambia uti wa mgongo umepinda kidogo,eti kama shape ya mgongo wa paka,wakanandikia na dawa za gharama kweli kweli.
Kifupi kwa leo naomba nisaidie hiyo tiba ya nyonga kusagika na je ipi sababu yakuwa ivyo? Ahsante ubarikiwe.
 
Back
Top Bottom