Ni dawa zipi zinasaidia kuondoa tumor?Tumor ni mass of tissue,which may be solid or fluid filled.Tumor inaweza kuwa na cancer au bila cancer.Tumor zinatokea cells za mwili zikiwa zinakuwa na kujigawanya bila mpangilio.Kama kuna unbalance kwenye cell growth au matatizo kwenye immune system.
Vitu vinavyoweza kusababisha tumor ni:
Types of tumors known to be caused by viruses are:
- Benzene and other chemicals and toxins
- Drinking too much alcohol
- Environmental toxins, such as certain poisonous mushrooms and a type of poison that can grow on peanut plants (aflatoxins)
- Excessive sunlight exposure
- Genetic problems
- Obesity
- Radiation exposure
- Viruses
- (human papillomavirus)
- (hepatitis B and hepatitis C viruses)
asante sana kaka........Cholera
hakuna uhusianoJe kuna uhusiano gani kati ya Arv na hepatitisB....
Tunaomba majibu [emoji121]nakuwa nawashwa katika mapaja
mpk eneo la vidole vya miguu wkt
mwingine ktk tumbo, najikuna
mno napojikuna vinatoka vipele
ambavyo baada ya muda
vinaungana na kuisha kwa saa 1,2
hata 3 haswa jioni, siku nyingine
naweza kuamka nakuta mdomo
wa juu ama wa chini umevimba
mpk saa 7 mchana hali hy inakuwa
imetoweka.
akikosa hamu ya kula ajilazimishe tu. ahakikishe anafuata ushauri wa kidaktari wakati wa ujauzito ikiwa ni pamoja na utumiji wa madini ya chuma & folic acid.Mke wangu ana tatizo la watoto kufia tumboni..mimba ya kwanza ilifika miezi nane ya pili ikafika miezi saba..je tatizo ni lipi? Je anaweza kuzalishwa mapema ili kuokoa mtoto?? Pia akiwa mjamzito anakosa hamu ya kula
kuhesabu vijidudu kwa kuangalia kwenye microscope sio kazi rahisi hivyo wengine huhesabu kwa juu juu tu..Dr hivi ni kwa nini vipimo vya malaria hutofàutiana Kati ya hospital Moja na nyingine? Kwa mfano hospitali ya kwanza unaandikiwa 4 MPS/200 WBC na muda huohuo unakwenda hospitali nyingine unaambiwa 15 MPS/200 WBC.. Ipi ni sahihi?
rafiki nakushauri ukapimeDr hapa nilipo ninasumbuliwa na kuumwa kwa moyo hasa wakati wa baridi na huuma kama unavyosogeza kaa la moto kwenye ngozi.Je tatizo ni nini na ninaweza kupata dawa.Nb bado sijaenda hospitali.
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Doc?,mbona hujanijibu swali langu[emoji53]?Mkuu,nataka nijue dawa ya kutibu lips zinazokuwa nyekundu,painful ,kukauka,vidonda vidogo na sometimes bleeding or at different phases of the situation[emoji53].
Doc?,mbona hujanijibu swali langu[emoji53]?Mkuu,nataka nijue dawa ya kutibu lips zinazokuwa nyekundu,painful ,kukauka,vidonda vidogo na sometimes bleeding or at different phases of the situation[emoji53].