Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
GorgeousmimiHabari mkuu,mi na tatizo la nyonga kusagika,nikigusa naona kuna mabadiliko ki shape,nini tatizo na ipi tiba yake?!,,nilienda hospital wakaniambia uti wa mgongo umepinda kidogo,eti kama shape ya mgongo wa paka,wakanandikia na dawa za gharama kweli kweli.
Kifupi kwa leo naomba nisaidie hiyo tiba ya nyonga kusagika na je ipi sababu yakuwa ivyo? Ahsante ubarikiwe.