Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Dawa nzuri ya HpYlori Ni ipi
Kuna Helicobacter pylori positive na negative with ulcers kwa H.pylori positive treatment ni
Triple cure either mchanganyiko wa
PPI(Protein Pumpinhibitor) *2 + Amoxicillin 1g*2 +Clarithromycin 500mg *2 kwa siku kumi au
PPI *2 + Metrodinazole 400mg *2 pamoja na either Amoxicillin 1g*2 au Clarithromycin 500*2 kwa siku kumi.

Nimetaja PPI nakurahishia ambayo unaweza kuipata kama ni omeprazole, esomeprazole, lansoprazole,pantoprazole n.k

NB:Ni muhimu cure iwe ya siku 7- 10

Kwa H.pylori negative unatakiwa utumie Protonpumpinhibitor kwa muda wa wiki 4-8
 
Njia ya mkojo ilikuwa inauma nikikojoa, nakojoa kwa shida. Hii hali ilishawahi kunitokea, lakini safari hii ilikuwa tofauti, ilidumu karibu wiki 2 na nilikuwa natumia dawa. Ila nilipoigusa Azuma siku 2 tu nikapona
Nakushauri ukapime magonjwa ya zinaa kama Clamydia au Gonorohea!
 
Niliwahi kusoma makala fulani inazungumzia the Diet Plan...kuna za aina mbili au zaidi ila common ni;

1. High Carbohydrate Low fat diet - Hii inatumika USA na nchi nyingi za bara la America na sehemu kubwa ya Africa.

2.High Fat low Carbohydrate diet - Hii inatumika sana nchi zenye wafugaji na jamii za wafugaji mfano wamasai.

Kwenye makala hiyo walielezea sana madhara makubwa ya kiafya ya kuna vyakula vyenye wanga kwa wingi na fat kidogo yalivyowaathiri wamarekani wengi.

Walishauri kuwa High fat diet is more health zaidi ya cabohydret nyingi. Na fat tunaipata kwenye nyama, nuts mfano karanga n.k.

Embu tuwekane sawa hapa mtaalamu.
 
Antibiotics haitibu fungus!Anatakiwa atumie ANTIFUNGALS.Ni sahihi ametumie za kuweka ukeni mwanzo bila ya shaka itakuwa aina ya clotrimazole.Kuna uwezekano inajirudia kwasababu na ww una maambukizi kwahio una muambukiza upya.Nashauri wote wawili mngetibiwa.Wewe utumie dose moja acute systemic treatment ya fluconazole 150mg.
Ni muhimu pia aepuke kuosha sana uke,anavuruga normal flora ya huko na ajitahidi asivae nguo za kumbana uke na pia anatakiwa avae nguo za ndani zilizokauka vizuri za aina ya cotton.

Nashauri ajaribu Systemic Fluoconazole 150mg kila baada ya siku 3(DAY 1,4 & 7) na baada ya hapo awe na maintainence dose ya 150mg mara moja kwa wiki kwa muda wa miezi 6.

NB:Ni muhimu kujua kwamba dawa za fungus hasa za kumeza (antifungals) hazishauriwi kutumiwa kwa wajawazito hasa walokuwa kwenye First trimester,kwani zinaweza kusababisha kuharibika kwa ujauzito.

Kila la kheri
 
Habari Dr, mtoto wangu anakuwa na vipele mwili hasa kuanzia kiunoni hadi miguuni anajikuna vinapona then vinarudi

Tatizo ni nini maana ni tatizo kama miezi sita sasa na umri wake ni miaka miwili
 
Habari Dr, mtoto wangu anakuwa na vipele mwili hasa kuanzia kiunoni hadi miguuni anajikuna vinapona then vinarudi

Tatizo ni nini maana ni tatizo kama miezi sita sasa na umri wake ni miaka miwili
Ana Eczema anahitaji kortison ointment mpeleke kwa daktari wa ngozi ili apatiwe strength sahihi ya cortison kuna group I,II na III !Ni muhimu akitumia aina hizi za ointment hasa group 3 msiache kumpaka ghafla yaani mustep down kidogo kidogo mfano mara mbili kwa wiki,kisha mara moja kwa wiki ikisha unaacha na pia anatakiwa atumie ointment ya aina nyingine kama maintanance akimaliza dozi ya dawa nashauri cream yenye carbamide/urea inasaidia esczema isijirudie.
 
Naomben kuuliza kuhusu dawa ya bawasiri ya nje na ndan... Kuna ndg yang ana sumbuka sana.... Au kama kuna mtu alipona naomba kujuzwa. Natanguliza shukran
 
kwa hiyo mkuu hii ni dawa ya kufa bila maumivu???? si mtuambie jamaan wengne tuna ukimwi sugu
 
Dawa gani inayoondoa hangover siku ya jumatatu asubuhi kusudi nikienda kazini bosi asijue kuwa jana niliyachapia sana!
 
Naomben kuuliza kuhusu dawa ya bawasiri ya nje na ndan... Kuna ndg yang ana sumbuka sana.... Au kama kuna mtu alipona naomba kujuzwa. Natanguliza shukran
Nakuomba ukasome post za nyuma nimeshajibu swali hili.
Inategemea na degree ya bawasili alokuwa nayo kama ni kubwa anahitaji kumuona daktari kwasababu panahitajika pafanyike kaupasuaji ili kuondoa bawasili.Prednisolone supp na ointment zinaweza kutumika pia kupunguza inflammation na maumivu!
 

Dr nilifanyiwa operation ya Perianal fistula miezi miwili iliyopita lakini bado napata continues discharge,je inaweza kuwa imefeli. Nilitumia antibiotics for two weeks baada tu ya operation na kufanya sitz bath kwa mwezi na nusu ila bado napata pus discharge. Kuna dawa nyingine zinaweza kusaidia?
 
Rudi hosp,!usaha ni sign ya infection!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…