siku hizi kuna vi mod yaan kama viko field vile...vinafanya majaribio.....ajabu sana
tunaomba Rev arudishwe fasta.....
mtu kama kashaga anafanya nini huku..hawa ndio wa kufungia kabisa ..wanaleta vurugu humu na kuchafua janvi
Umekosa kazi wewe! hivi mtu mwenye akili zake timamu anaweza kulalamika kuhusu kufungiwa kwa Masanilo? yule jamaa anajulikana kwa matusi yake na kejeli kwa dini za wenzie, labda tabia zenu zinafanana ndio maana una lalama hapa kama mtoto.
chonde chonde Mods.
wanasema samehe 7 x 70
Haya.....teyari ushapigwa BAN.......na utakuwa nje ya uringo wa JF kwa miaka 2......mimi ni Mod NO 7Wakasema mfungulie baraba ili tumsulubishe mfalme wa mayahudi.naomba nimpokee ban yake na badala yake nifungie mimi kwa huo mda aliobakiza.
On training job wanaangalia wingi wa posts hata wewe endelea tu siku moja utasitukia umekuwa Mod bila kuangalia historia yako ya nyuma, kwa hiyo kama ulikuwa na bifu na mtu hapo ndipo pakumalizia.siku hizi kuna vi mod yaan kama viko field vile...vinafanya majaribio.....ajabu sana
tunaomba Rev arudishwe fasta.....
mtu kama kashaga anafanya nini huku..hawa ndio wa kufungia kabisa ..wanaleta vurugu humu na kuchafua janvi
angekaa huko mwaka 1
haya.....teyari ushapigwa ban.......na utakuwa nje ya uringo wa jf kwa miaka 2......mimi ni mod no 7