Second hand
Member
- Jan 20, 2013
- 72
- 6
Habari zenu wanajf! Nategemea msaada mkubwa sana kutoka kwenu; nikijua siwezi kupata msaada mwingine zaidi ya hapa. Mie ni mkazi wa iringa ingawa sasa nipo Dodoma kimasomo. Nina tatizo la koo: tatizo limedumu kama mwaka na nusu na mara kadhaa nimejaribu kupata matibabu lakini sijafanikiwa.
Wajameni naomba ushauri wenu katika uchunguzi wa hili tatizo ikiwezekana hata kuja Dar kupata vipimo.
- Koo linauma,
- kuna muda nashindwa kumeza chakula (au kinapita kwa tabu),
- mahohozi hayaishi kooni.
Wajameni naomba ushauri wenu katika uchunguzi wa hili tatizo ikiwezekana hata kuja Dar kupata vipimo.