Nakata tamaa ya kuishi! msaada tafadhari...

Nakata tamaa ya kuishi! msaada tafadhari...

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Habari zenu wanajf! Nategemea msaada mkubwa sana kutoka kwenu; nikijua siwezi kupata msaada mwingine zaidi ya hapa. Mie ni mkazi wa iringa ingawa sasa nipo Dodoma kimasomo. Nina tatizo la koo: tatizo limedumu kama mwaka na nusu na mara kadhaa nimejaribu kupata matibabu lakini sijafanikiwa.

  • Koo linauma,
  • kuna muda nashindwa kumeza chakula (au kinapita kwa tabu),
  • mahohozi hayaishi kooni.
kuna kipindi nimewahi kupigwa x-ray iitwayo barium swallow katika hospitali ya rufaa mbeya lakini Daktari alinambia hakuna tatizo lolote. Kweli tatizo linanitesa mno. Kuna kipindi niliwahi kuongea na jamaa yangu mmoja alinambia inawezekana ni saratani ya koo, niliogopa sana ingawa nilipojaribu kugoogle na kuona dalili za saratani ya koo ziliona zinaendana.
Wajameni naomba ushauri wenu katika uchunguzi wa hili tatizo ikiwezekana hata kuja Dar kupata vipimo.
 
Pole sana ndugu, nakushauri kama una uwezo kifedha tafuta tiba asilia ndio kiboko ya maradhi, x-ray kikawaida sio nzuri kutokana na mionzi, jaribu kutafuta wataalam wa tiba asilia kama akina ndodi, hakika utapata tiba ila gharama inakuwaga kubwa.
Ni hayo tu.
 
Pole sana, tumia blackseed oil, kwa kiswahili inaitwa mafuta ya habatsouda, yanapatikana kariakoo ktk maduka ya pale karibu na posta ya soko la kariakoo, chukua yale ya mombasa bei ni elfu 10
Soma hii website itakusaidia
Black Seed - 'The Remedy For Everything But Death'
Matumizi ya blackseed oil na tafiti zilizoonyesha kutibu canser na maradhi yasiyo na tiba rahisi za dawa za pharmacy
http://www.endalldisease.com/studies-show-black-cumin-successfully-destroys-cancer-cells/

Pia tumia asali,binzari, na lishe yako weka majani ya mti wa mronge siyo mbegu.
Je umebadili lishe yako kabla ya kuumwa,?unavuta sigara?
[h=2]Black Seed Oil Protocol:[/h]The dosage that many people have found effective is 3 teaspoons of oil a day, taken as follows:

  • Take 1 teaspoon of the oil mixed with ½ teaspoon of honey 30 minutes before breakfast
  • Take 1 teaspoon of the oil in the afternoon mixed with the juice of one orange
  • Take 1 teaspoon of the oil mixed with ½ teaspoon of honey before bed
The honey is used as a carrier to help move the black seed oil into the cell where it can infer its medicinal effects. The darker the honey the better. Manuka honey, considered the queen of honey, might be the finest choice, as it is reported to have the highest anti-microbial activity of all honeys.
 
Usikate tamaa kaka mungu hapendi mtu anayekata tamaa jaribu tiba asilia .
 
Mkuu kama unaweza nenda regency pale waambie unataka fanya OGD inaweza ona tatizo kama lipo, alaf ushaur usipende sana tembelea mitandaoni unapoona unatatizo linaweza kuwa dogo ila ukalisababisha kuwa kubwa mnoo kutokana na utakayoyasoma
 
Alafu mkuu mwezi huu tarehe 26 mpaka 29 nafikiri healing school itakuepo mbezi beach pale christ embassy embu jitahid uwepo pale hakuna cancer hapoo mkuu maintain your healing through a positive confession
"As he thinketh in his heart so is he"Proverbs 23:7

"Resist the devil and he will flee from you"james 4:7
 
Tupo pamoja na wew kwenye maombi mkuu mungu atafanya kitu katika maisha yako hautokufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya mungu, ujitahidi maombi na please ukipata nafasi usikose hudhuria healing school mbezi beach utakuwa mzima kabisa.
Barikiwa sana usisite kutupa mrejesho wa matendo makuu ya mungu atakayoyafanya juu ya maisha yako
 
Mkuu kama unaweza nenda regency pale waambie unataka fanya OGD inaweza ona tatizo kama lipo, alaf ushaur usipende sana tembelea mitandaoni unapoona unatatizo linaweza kuwa dogo ila ukalisababisha kuwa kubwa mnoo kutokana na utakayoyasoma

kaka mimi kuhusu kusoma kwenye mitandao uniambii kitu,nimejitibu DEPLESION just by mtandao
 
Mungu awabariki sana jamani kwa michango yenu hakika ntaifanyia kazi. Na yeyote mwenye lolote tafadhari asisite kuchangia
 
Hebu jaribu kuachana na vyaka vyenye mafuta mengi, mikaango, pilipili na vyenye chachu/ acidic food. Viazi vitamu na vyakula vilivyolala. Unapomaliza kula hakikisha unajishughulisha kidogo na usilale mara tu unapomaliza kula. Mto wako uwe umenyanyuka kidogo. Maelezo yako yanafanana na tatizo nililo nalo. Kale kajamaa kanakopaswa kufunga ili chakula kisirudi hakifanyi kazi vyema. Dawa yake ni kuwa mwangalifu na kukisahau, usikifikirie. Nilikuwa na mashaka hayo hayo uliyonayo kwa miaka kadhaa mpaka nilipokutana na Dr mmoja ambae alinisaidia sana. Hakuna dawa bali hayo niliyokushauri. Ikiwa tatizo ni hilo as days goes on utalisahau. Pole sana
 
Back
Top Bottom