Nakataa goli la Mayele sio bora msimu huu, tusidanganyane

utajiju,anzisha ligi yako uweke vigezo vyako
 
Saidoo hakustahili tuzo ya kitendo cha uungwana wamempa tu Sakho ndiye alipaswa apewe.
 
asa umesema yote na bado hata wewe hujamtaja aliyefunga goli bora ni yupi
 
Wewe unaongea kwa mtizamo wako na mtizamo wako sio lazima uaksi mitizamo ya wengine.
 
Saidoo hakustahili tuzo ya kitendo cha uungwana wamempa tu Sakho ndiye alipaswa apewe.

Hata goli bora lilipaswa kuwa la Sakho dhidi ya SBS. Lile goli linafanana sana na alilopatia tuzo ya CAF msimu uliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…