Nakaukiwa sana kooni mida ya usiku

Nakaukiwa sana kooni mida ya usiku

Churamagamba

Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Kwa mwenye utaalamu tafadhali, nikistuka toka usingizina ucku nahic kukaukiwa sn ata mda mwingine inanibidi kutafuta maji ya barid sn ili kulainisha koo. kwa mwenye kujua sbb ya hii kitu
 
tatizo hilo linasababishwa na kutokunywa maji ya kutosha jitahidi kunywa maji ya kutosha kila siku japo lita 3-5
 
Kwa mwenye utaalamu tafadhali, nikistuka toka usingizina ucku nahic kukaukiwa sn ata mda mwingine inanibidi kutafuta maji ya barid sn ili kulainisha koo. kwa mwenye kujua sbb ya hii kitu

Umekwisha pima kisukari (diabetes). Hii ni moja ya dalili zake.

Pia kama unakunywa pombe (hasa pombe kali) unaweza kupata hii hali (dehydration).

Haya ni maoni yangu (simtaalamu wa tiba). Tusubiri magwiji.
 
Back
Top Bottom