Jamani nimeshtuka na kutahayari baada ya kusikia kuwa Nakaya katoka Chadema na Kurudi CCM,hapo numa aliapa kuwa kamwe haitaipigia debe CCM sasa hii U turn imekuwaje,ama kweli hizi fedha za mafisadi zinawaumbua watu kumbe kelele zote za akina Nakaya & CO ni njaa tu na sio usongo wa nmaisha bora kwa wa TZ

Maneno haya yanaweza kusemwa na mtu aliyekuwa BRAIN WASHED tu...........acha uvuvuzela wee,amewashtukia wamwaga damu nyie.
ccm ni chama tawala, waswahili husemafuata nyuki ule asali
Na wewe Boma 2000 utaondoka lini CCM ili urudi?
Jamani, acheni kumzonga mtoto wa watu: chadema haitoi sapoti yoyote kwa wagombea wadogo