boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,279
- 310
Mdogo wangu Nakaya, nimeangalia orodha ya wabunge wa viti maalumu wa CCM humo, katika orodha ya wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA humo. Mkakati wako wa kuhama toka CHADEMA nilifikiria waenda kuwa katika orodha ya viti maalumu vya CCM. Basi ngoja tukusubiri katika vile viti KUMI vya Mheshimiwa Rais. Nakutakia kila jema katika maisha yako ya kisiasa.
Duu mama mdogo hilo lemba ulilovaaa kwenye avatar kibokoooo. umemtakia kilala kheri nakaya