Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
football gani hio magoli yenyewe kwa shida!! hadi sasa tu hapa Simba wamewazidi magoli 10.
I believe too! Simba bingwa msimu huu.View attachment 2491866
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote.
Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
Naunga mkono hojaView attachment 2491866
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote.
Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
🤣🤣🤣🤣Hivi haya mambo ya Simba na Yanga huwa hamuyachoki?
Endelea kuota. Yanga ndiyo bingwa wa ligi kuu, kwa mara ya pili mfululizo.View attachment 2491866
Mechi 2 za mwisho atazocheza Yanga kule Mbeya dhidi ya Prisons na Mbeya city kuna moja ataangusha points zote.
Siku ya Derby kuna maajabu yake, Believe that!!
Life is so simple! Don't complicate it.Hivi haya mambo ya Simba na Yanga huwa hamuyachoki?