#COVID19 Nakazia, viongozi chukueni tahadhari ya Corona

Tanzania hakuna corona kwenda zako huko
Kuna kipindi tulikanusha #Tanzania haina #COVID19. Ikawa dhambi kukiri kuwa ipo. Sasa kuna maneno kuhusu chanjo. Ukimya wa madaktari bingwa na wataalam wetu ktk hili inashagaza. Sitaki kuamini utaalamu wao unaishia ktk kujifukiza, tangawizi nk. Toeni ushauri plse. #KSK_Balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…